Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Uzi huu nauandika nikiwa nimebanwa nkaa kwenye mwendokasi. Na nimepanda mwendokasi kwa sababu sina jinsi maana route ya daladala iliuawa kutokea town centre kuelekea Ubungo hadi Kimara.
Hivyo ndivyo maono yangu yanavyonituma.
Kwamba hiki kizazi cha akina Mwigulu, Nape, January, kamwe hakitakaa kituletee maendeleo yoyote kwenye nchi.
Sababu kubwa ni kwamba hawana ari wala munkari wa kuacha alama kwenye nafasi zao, wapo pale wakiwa wanawaza nafasi ya Urais. Chochote wanachofanya wanafanya kuwafurahisha wazee wa chama na si wananchi.
Hiki kizazi cha akina Makonda, Hapi na wengineo ndicho angalau unaona wanafanya kazi pasipo kumfurahisha yeyote, wanasimamia misingi ya uongozi ambayo ni ku-side na wananchi.
Japokuwa wana makandokando yao, lakini ni bora kuliko hawa viongozi kondoo kwa kila kitu. Wao mlalahoi akionewa sawa, bwanyenye akiiba pia sawa. Yani wana ukondoo sio wa kawaida.
Kama ni phase, basi nchi kwa sasa iko kwenye LATENT PHASE. Yani hakuna kinachoendelea zaidi ya blaah blaah tu hapa na pale.
See you in 2040s