Kizazi cha dhahabu katika siasa za upinzani Tanzania kilikuwa ni hiki hapa. Hawa wa sasa wamekata pumzi

Wamezeeka akili na mwili,umri unawatupa mkono wanajikuta Wana focus kwenye fainali uzeeni kuliko mapambano.

Wanahisi wamepoteza pambano.

Mwisho umemsahau Freddy Lwakatare.
 
Filikunjombe na Mpina hapo vipi?
 
Hadi prof Jay na Dugu🀭🀭
 

Hii ni kabla ya yule dhalimu wa chattle hajaja kuleta ulevi wake wa madaraka kwenye siasa za ushindani. Matokeo yale alikipotezea hata chama chake mvuto wa kisiasa. Ndio maana Sasa hivi bunge lake la chama kimoja hakuna mwenye muda nalo Wala halina mvuto.

Na Sasa hivi muhalifu aliyemuaandaa anazunguka nchi nzima akitengeneza mafuriko fake Ili kurejesha hamasa waliyoshiriki kuipoteza kwa kulazimisha kukubalika.
 
Na hata watu mitaani wanakiri kwamba Tzn hakuna upinzani na Wala hawana Imani na hao Wapinzani.

Wanawachagua Wapinzani pale ccm ikibodonga ila ikijirudi wote wanarudi ccm
Nimecheka kwa nguvu, halafu ccm inalazimisha kuhodhi tume ya uchaguzi ili watengeneze matokeo wayatakayo, na sio yanayotakiwa na wananchi.
 
Nyie wengine ni waganga njaa,wachumia tumbo na Machawa 😁🀣

Kwenye kizazi hicho hata Mimi nilikuwemo enzi zile tuko Mlimani na matapeli kina Shonza πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimecheka kwa nguvu, halafu ccm inalazimisha kuhodhi tume ya uchaguzi ili watengeneze matokeo wayatakayo, na sio yanayotakiwa na wananchi.
Kwa sababu Kuna maeneo hawajafanya vyema lakini hawataki Wapinzani wapate Nguvu msije kuwasumbua hapo baadae
 

1. Umenena vyema - Lissu kurejea bungeni.

2. Ni wazi kuwa bila katiba mpya kwenye urais wapinzani wategemee kupigwa tukio (huko hatoboi mtu asoyetoka kizimkazi).
 
Vipi, ester matiko, ester bulaya na mwita waitara?
 
Kwa sababu Kuna maeneo hawajafanya vyema lakini hawataki Wapinzani wapate Nguvu msije kuwasumbua hapo baadae

Mnajilisha upepo mnakubalika, kisha ikifika wakati wa kipimo Cha kukubalika kwenu mnakimbilia kwenye mbeleko! Ni sawa na mwanafunzi anajiaminisha kuwa ana akili, ila ikifika siku ya mtihani anapewa majibu na msimamizi wa mtihani!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama hujamtaja Juma Duni Haji listi yako haiko sawa
Huyo mchanga na siasa za bongo,cheyo,makaidi,lipumba,mbowe,maalim seif,Hamad Rashid,zito kabwe nk ni wanasiasa ambao usingekua na shaka wakishika hatamu za nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…