Kizazi cha hisabati (mathematics) kinapotea taratibu kutokana na Kubadilishwa kwa Mitaala ya Elimu nchini

Kizazi cha hisabati (mathematics) kinapotea taratibu kutokana na Kubadilishwa kwa Mitaala ya Elimu nchini

Unajua maana ya generation kwenye mathematics,
??Wewe hujui Nini maana ya generation ya mathematics,Kama hakuna kanuni,models au theorems zilizogunduliwa huwezi kuita generation,mfano kila generation inakuwa na ugunduzi fulani,kwa mfano computer generation Zina vitu vipya tofauti tofauti kwa kila generation,Sasa kwa Tanzania hebu niambie generation ziko ngapi na wamegundua nini?
unamaanisha wewe hujui kutumia computer kwa kuwa haijavumbuliwa na watalamu kutoka tanzania? NATAKA TU KUKUWEKA SAWA KWAMBA KUJIDHARAU HAKUNA MAANA.
 
Mathematics generation refers to the process of creating new mathematical ideas, concepts, theorems, formulas, or models. It involves exploring mathematical

Hebu niambie formula, concept,theory na models zilizogunduliwa hapa bongo ili tujue kweli wewe unaelewa ulichoanzishia uzi
Watu mnapenda ubishi haya ufaulu wa somo la hesabu umeshuka huko
 
Kwa kuwawekea multiple choices kwenye mitihani ya Hisabati wao(NECTA) husahihisha kwa haraka sana.

Necta wamewekeza zaidi kwenye kupunguza gharama za usahihishaji kwa kisingizio cha teknolojia.

Huenda kuna lijitu limoja kutokana na nafasi liliyokuwa nayo pale necta limewashawishi maafisa wenziwe hata hilo likapita bila kujali uhalisia wa madhara ya hilo walilolipitisha.

Kwa kidato cha 4 nao wanaruhusiwa kutumia calculator kwenye mitihani yao ilihali kwenye mihtasari wanafundishwa kutumia mathematical tables tu.

Kwa akili za watoto wanaona wamerahisishiwa ilhali hawajui kuzitumia hizo calcalator zenyewe, maana hakuna mada wanayofundishwa kuzitumia.

NECTA na TIE ni kama vile hawawasiliani ili kujenga, pengine kila mmoja anajiona mwamba na anapaswa kusikilizwa.
KWELI MKUU SAIVI WAMETANGAZA KUWA UFAULU WA SOMO LA HISABATI UMEPUNGUA
 
Yaani nikisikia mtu anasifia hisabati ananikera mno naona ka mkoloni tu, we mtoa mada nikikuuliza hisabati imekufikisha wapi!? hesabu zaidi ya kutoa kujumlisha kuzidisha na kugawanya pesa zinatosha, hayo mengine ya nini!?
 
Mleta mada hajui alicholeta hapa,anadhani hapa ni Facebook,ukikutana na watu makini lazima ukimbie Uzi na uanze matusi
HOJA YAKO IPO WAPI??
KAMA NIMEKOSEA NIPO TAYALI KUREKEBISWA SIKUJA KUBISHANA
 
Yaani nikisikia mtu anasifia hisabati ananikera mno naona ka mkoloni tu, we mtoa mada nikikuuliza hisabati imekufikisha wapi!? hesabu zaidi ya kutoa kujumlisha kuzidisha na kugawanya pesa zinatosha, hayo mengine ya nini!?
KWA KUA WEWE HUPENDI HISABATI NDIYO KILA MTU ASIPENDE HISABATI
 
Kila nikimkumbuka mwalimu wangu wa Hisabati Mwalimu Msiagi alivyokuwa akitujengea confidence katika somo la Hisabati zikiwemo test za asubuhi pamoja na kuielewa table na kuiweka kichwani hakika ilitujenga sana.

Lakini Sasa mtaala umebadilisha kuwa mitihani ya hesabu shule ya msingi Wanachagua yaani tayali wamewekewa majibu kabisa.

Mfano 3+4 (a) 2 (b) 4 (c) 7.

Huu mfumo umetengeneza vijana wavivu sana, wanafunzi hawataki kufikiria kabisa pamoja na kukokotoa anachokifanya ni kufumba macho na kuotea tu.

Msingi wa mtoto kupenda hesabu ni kuanzia chini kabisa yaani shule ya msingi ule mfumo wa mwanzo ulikua Bora sana tofauti na mfumo wa Sasa maana umetengeneza kizazi Cha kubashiri (kubeti).

Hivi Sasa ukikagua mitihani ya mtoto haswa ya hesabu unakuta swali Fulani kapata lakini swali Hilo Hilo ukimwambia alifanye kwa njia hawezi hata kidogo kumbe yeye aliotea tu na kwa kuwa ni bingwa wa kuotea basi anaonekana Bora mbele ya wale wasiokuwa Bora katika zoezi la kubashiri.

Mfumo wa Zamani ukikutana na kipanga wa Hisabati anakuwa ni kipanga kweli kweli lakini hivi Sasa kwa shule ya msingi kutokana na huo mfumo wakuchagua naona kabisa kizazi Cha Hisabati kinapotea taratibu kinabaki kizazi Cha kubeti.

Ombi langu kwa Wizara ya Elimu iangalie upya huu mtaala wa shule ya msingi haswa somo la Hisabati wafute huo muundo wa kuchagua ili kunusuru kizazi Cha Hisabati (mathematics)

Nawasilisha hoja.
Nakumbuka nikiwa darasa la tano kama sio sita ndioo mfumo huu ulianzishwa ile tumeibgia la saba alikuja ticha mpya wa mathe, yule mzee alikuwa moto siku anafika tu alisema 'najua mnajua kuwa mitihani ni ya kavhagua majibu ila hakuna hata mtihani wangu mmoja nitakaowawekea huo upuuzi'. Mzee yule aliishi katika maneno yake kila mtihani au zoezi akitoa lazima ufanye maswali katika mtindo wa swali,kazi na jibu. Mitihani ya kuchagua tulikuwa tunakutana nayo kwenye mitahani ya mock tu.
Huyu mzee alinifanyq niwe na speed ya ajabu kwenye solving ikafikia hatua nikawa kwenye paper za mock natoka saa moja kabla ya muda kuisha.
 
Duuh una umri gani sasa hivi mkuu? unaonekana charlie bado
 
1710587830585.jpeg
 
Back
Top Bottom