Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
unamaanisha wewe hujui kutumia computer kwa kuwa haijavumbuliwa na watalamu kutoka tanzania? NATAKA TU KUKUWEKA SAWA KWAMBA KUJIDHARAU HAKUNA MAANA.Unajua maana ya generation kwenye mathematics,
??Wewe hujui Nini maana ya generation ya mathematics,Kama hakuna kanuni,models au theorems zilizogunduliwa huwezi kuita generation,mfano kila generation inakuwa na ugunduzi fulani,kwa mfano computer generation Zina vitu vipya tofauti tofauti kwa kila generation,Sasa kwa Tanzania hebu niambie generation ziko ngapi na wamegundua nini?