Kizazi cha hisabati (mathematics) kinapotea taratibu kutokana na Kubadilishwa kwa Mitaala ya Elimu nchini

unamaanisha wewe hujui kutumia computer kwa kuwa haijavumbuliwa na watalamu kutoka tanzania? NATAKA TU KUKUWEKA SAWA KWAMBA KUJIDHARAU HAKUNA MAANA.
 
Watu mnapenda ubishi haya ufaulu wa somo la hesabu umeshuka huko
 
KWELI MKUU SAIVI WAMETANGAZA KUWA UFAULU WA SOMO LA HISABATI UMEPUNGUA
 
Yaani nikisikia mtu anasifia hisabati ananikera mno naona ka mkoloni tu, we mtoa mada nikikuuliza hisabati imekufikisha wapi!? hesabu zaidi ya kutoa kujumlisha kuzidisha na kugawanya pesa zinatosha, hayo mengine ya nini!?
 
Mleta mada hajui alicholeta hapa,anadhani hapa ni Facebook,ukikutana na watu makini lazima ukimbie Uzi na uanze matusi
HOJA YAKO IPO WAPI??
KAMA NIMEKOSEA NIPO TAYALI KUREKEBISWA SIKUJA KUBISHANA
 
Yaani nikisikia mtu anasifia hisabati ananikera mno naona ka mkoloni tu, we mtoa mada nikikuuliza hisabati imekufikisha wapi!? hesabu zaidi ya kutoa kujumlisha kuzidisha na kugawanya pesa zinatosha, hayo mengine ya nini!?
KWA KUA WEWE HUPENDI HISABATI NDIYO KILA MTU ASIPENDE HISABATI
 
Nakumbuka nikiwa darasa la tano kama sio sita ndioo mfumo huu ulianzishwa ile tumeibgia la saba alikuja ticha mpya wa mathe, yule mzee alikuwa moto siku anafika tu alisema 'najua mnajua kuwa mitihani ni ya kavhagua majibu ila hakuna hata mtihani wangu mmoja nitakaowawekea huo upuuzi'. Mzee yule aliishi katika maneno yake kila mtihani au zoezi akitoa lazima ufanye maswali katika mtindo wa swali,kazi na jibu. Mitihani ya kuchagua tulikuwa tunakutana nayo kwenye mitahani ya mock tu.
Huyu mzee alinifanyq niwe na speed ya ajabu kwenye solving ikafikia hatua nikawa kwenye paper za mock natoka saa moja kabla ya muda kuisha.
 
Duuh una umri gani sasa hivi mkuu? unaonekana charlie bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…