Kizazi cha Kanaani bado kinaendelea kuathiriwa na laana ya Nuhu mpaka leo?

Kizazi cha Kanaani bado kinaendelea kuathiriwa na laana ya Nuhu mpaka leo?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kulingana na maandiko ya Biblia kati ya Watoto wa watatu wa Nuhu mmoja alilaaniwa vibaya sana na baba yake. Mtoto aliyelaaniwa bado kizazi chake kinaendelea kuishi chini ya laana? Wazao wake Kaanani leo hii ni wapi ?

Mwanzo 9: 25-27
25: Alaaniwe Kanaani; Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.
26: Na atukuzwe Bwana, Mungu wa Shemu; Na Kanaani awe mtumwa wake."Mstari wa 27: Mungu ampanue Yafethi, Naye akae katika hema za Shemu; Na Kanaani awe mtumwa wake.
 
Wahusika wa riwaya kama wa kwenye kitabu cha ngoswe penzi kitovu cha uzembe tu
 
Back
Top Bottom