Naomba ukasikilizeFally ipupa bhana wee mayday, maria pm, originally, bakanja yaan kila wimbo ni mkali yaani [emoji3] ila ferre ana mauno
hii nyimbo inanikumbusha mbali sana acha kabisa yaaaniKula chuma hichoView attachment 2785264
Asante mkuu. Kama una zingine ziweke please 🙏🏿Kula chuma hichoView attachment 2785264
Inakukumbusha wapi mkuu? Just curious!hii nyimbo inanikumbusha mbali sana acha kabisa yaaani
awa naza motema pasi ngai mawa 🙌
ila wakiimba wote ni balaaaHapo nyimbo zote za rhumba za fally zinalipwa kwa wimbo mmoja tu wa ferre, kinshasa.
Ferre ni mkali wa rhumba zaidi ila fally ni mkali wa aina zingine za mziki yaani anachanganya miondoko.
kuna uno la kukatika afu kuna uno la uzazi weweNaomba ukasikilize
Kamasutra
Jugement
Za Ferre Gola halafu uje na majibu. Kwenye mauno ni Fally Ipupa
View attachment 2785266View attachment 2785267
Zitaimbwa nyimbo zote ila hakuna RUMBA itakayoifunika MAYDAY ya Fally amini nakuchana mkali.Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?
Hapa nitataja baadhi ya nyimbo zao ambazo ukiweza kuzisikiliza zinaweza kukupa mwanga wa kuamua kwenye hili
Fally Ipupa kasikilize
Mayday
Marie PM
Associe
Flye
Liputa
Tsho
Sl
Na nyinginezo
Ferre Gola kasikilize
100 kilos
Kamasutra
Jugement
Maboko Pamba
Poison d'avril
Court Circuit
Vita Imana (Remix)
Na nyinginezo
Haya twende na muziki mzuri
Baada ya hapo sikiliza 1000 Mawa. Lkn uwe hakika kwamba uko relaxedKula chuma hichoView attachment 2785264
ilo goma la FerrieG la 100 kilos ni moto aise halafu ndio umekamata V8 ya waziri dar to dodoma unaeweza kanyaga mafuta for 5hrs halafu ukajishangaa mwenyewe imekuaje nipo Dom time hiiKwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?
Hapa nitataja baadhi ya nyimbo zao ambazo ukiweza kuzisikiliza zinaweza kukupa mwanga wa kuamua kwenye hili
Fally Ipupa kasikilize
Mayday
Marie PM
Associe
Flye
Liputa
Tsho
Sl
Na nyinginezo
Ferre Gola kasikilize
100 kilos
Kamasutra
Jugement
Maboko Pamba
Poison d'avril
Court Circuit
Vita Imana (Remix)
Na nyinginezo
Haya twende na muziki mzuri
mapensi tu mjomba💔Inakukumbusha wapi mkuu? Just curious!