Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Nilijua tu 😁😁😁mapensi tu mjomba💔
Pole sana mpwa...
Yale hayanaga mwongozo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua tu 😁😁😁mapensi tu mjomba💔
unataka kula nini...... nilikua naitafauta hii nyimbo balaaa majirani watakoma weekendilo goma la FerrieG la 100 kilos ni moto aise halafu ndio umekamata V8 ya waziri dar to dodoma unaeweza kanyaga mafuta for 5hrs halafu ukajishangaa mwenyewe imekuaje nipo Dom time hii
asante nilishapoa mjombaNilijua tu 😁😁😁
Pole sana mpwa...
Yale hayanaga mwongozo!
Mkuu umesiliza Marlene,seyo, science fiction, bloque,afsana,Mal accompagné, lady dZitaimbwa nyimbo zote ila hakuna RUMBA itakayoifunika MAYDAY ya Fally amini nakuchana mkali.
Hii ndo list ya nyimbo 100 nazoziskiliza sana kwa siku moja hadi tano ni MAYDAY🔥🔥🔥🔥🔥
Ninazo nyimbo za album zote za fally Mkali, amini napokwambia MAYDAY ni master piece.Mkuu umesiliza Marlene,seyo, science fiction, bloque,afsana,Mal accompagné, lady d
Hongera kwa kunisikiliza sana mkuu nikipata mida ntakuja kupiga rumba ndani ya dar es salaamNinazo nyimbo za album zote za fally Mkali, amini napokwambia MAYDAY ni master piece.
mbala mosúsu