Hebu endelea kumsikuliza Ferre Gola ana nyimbo nyingi sanaMwanzoni nilidhani wanaopenda Rhumba ni Watu wazima sana, nilijikuta nimeanza kuzipenda when I was 10 years.
Sasa nimemwambukiza hata Wife kuzipenda, ikitokea kuna Show ya Diamomd ama AliKiba kiingilio shilingi 20,000 alafu kuna Show Ya Fere Gora ama Fally Ipupa kiingilio shilingi 100,000 atasema twende Kwa Fally ama Fere.
Rhumba music yao ni wa Viwango vya Juu sana.
Fally yuko njema sana ingawa nina collection ya nyimbo 5 za Ferre gora [emoji119]
Bila shaka MkuuHebu endelea kumsikuliza Ferre Gola ana nyimbo nyingi sana
Nyokalese ya Fali Pupa ,hiyo ngoma bonge moja la music , huwa siichoki kuisikiliza......................Mokili ekoti matata dit
Eric Mandala le docteur des
Ignorants et Maria Piron
Wo wo wo wo wo wo wo wo
Maria Piron, maman na Erika
Alvina et Nazeria Mandala
Sirène ya police ekumbaka na prison
Ya corbillard ekokumba nga na lilita
Γpargner nga, zuwa esalaka nga neti droguΓ©
Ba lèvres na yo elakaki matama na nga ah
En aucun jour ba larmes eko visiter yango
PrΓ©sence na yo bΓ©ton armΓ© ya vie na ngai
Esengo elekaka kasi souci ya aimer ekoleka tΓ©
Marianne soki otiki ngai eh chagrin malheur
Yo oko banza moto alali nzoka aweΓ― na yΓ©
Maria Mandala soki otiki ngai eh
Chagrin malheur
Yo oko banza moto alali nzoka aweΓ― na yΓ©
Nyokalese ya Fali Pupa ,hiyo ngoma bonge moja la music , huwa siichoki kuisikiliza......................Mokili ekoti matata dit
Eric Mandala le docteur des
Ignorants et Maria Piron
Wo wo wo wo wo wo wo wo
Maria Piron, maman na Erika
Alvina et Nazeria Mandala
Sirène ya police ekumbaka na prison
Ya corbillard ekokumba nga na lilita
Γpargner nga, zuwa esalaka nga neti droguΓ©
Ba lèvres na yo elakaki matama na nga ah
En aucun jour ba larmes eko visiter yango
PrΓ©sence na yo bΓ©ton armΓ© ya vie na ngai
Esengo elekaka kasi souci ya aimer ekoleka tΓ©
Marianne soki otiki ngai eh chagrin malheur
Yo oko banza moto alali nzoka aweΓ― na yΓ©
Maria Mandala soki otiki ngai eh
Chagrin malheur
Yo oko banza moto alali nzoka aweΓ― na yΓ©
Kabisa anajua sana jamaaNyokalese ya Fali Pupa ,hiyo ngoma bonge moja la music , huwa siichoki kuisikiliza......................
Ferre Gola naye ni master sana ,kuna ile ngoma ya Vita Imana bonge moja la ngoma
Kiufupi wote wanajua
PointNimwasikiliza wote na nimekuja kugundua kuwa wengi wanamfahamu Fally Ipupa kuliko Ferre Gola na sababu kubwa ni Ferre Golla anafanya Traditional Rhumba tofauti na Fally Ipupa ambaye yeye anafanya Modern Rhumba
Hii point kubwa sana, lakini pia Fally Ipupa ni maarufu zaidi kwa hapa kwetu kwasababu ameshakuja mara kadhaa tofauti na Ferre GolaNimwasikiliza wote na nimekuja kugundua kuwa wengi wanamfahamu Fally Ipupa kuliko Ferre Gola na sababu kubwa ni Ferre Golla anafanya Traditional Rhumba tofauti na Fally Ipupa ambaye yeye anafanya Modern Rhumba
Huo ndio mchezo wangu nikiwa road napenda kusikiza 100 kilos matrafic wakipiga mkono wanajua dume, nikishuka wakiniona wanasikitika wanasema binti utakufa wewe!!!ilo goma la FerrieG la 100 kilos ni moto aise halafu ndio umekamata V8 ya waziri dar to dodoma unaeweza kanyaga mafuta for 5hrs halafu ukajishangaa mwenyewe imekuaje nipo Dom time hii
Inabidi unitafute nikupe pini za Rhumba unaweza kupiga hapa mpaka unaingia DomHuo ndio mchezo wangu nikiwa road napenda kusikiza 100 kilos matrafic wakipiga mkono wanajua dume, nikishuka wakiniona wanasikitika wanasema binti utakufa wewe!!!
Na cleβ boa ya koffi aisee!! Wakongoman wanajua wanajua tena!!!πππ
Maana yake Maria Maria ukiondoka nitaumia.Maria PM...
Maria maria soki otiki ngai!