Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio ndio, wewe tena.Huo ndio mchezo wangu nikiwa road napenda kusikiza 100 kilos matrafic wakipiga mkono wanajua dume, nikishuka wakiniona wanasikitika wanasema binti utakufa wewe!!!
Na cle’ boa ya koffi aisee!! Wakongoman wanajua wanajua tena!!![emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio ndio, wewe tena.
Ile siku unatoka mbeya usiku, unajua sikulala vizuri kabisa nilikua nakuwazia wewe[emoji23][emoji23]
Sema road upo vizuri sana, superwoman[emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi unitafute nikupe pini za Rhumba unaweza kupiga hapa mpaka unaingia Dom
Mkuu Mayday ni Kali sana, Sasa nenda kasikilize hata pini 3 tu za Ferre Gola
Kamasutra
Jugement
Court Circuit
Halafu utaniambia
[emoji23][emoji23][emoji23] ukipigwa mkono na traffic ume-overspeed wanashangaa anatoka mdada tena mrembo haswaa[emoji23][emoji23]Kazi ya cazee hiyo ana ujinga mwingi wa magari mpk kaniharibu, nikienda mkoa nachezesha speed na big boyz New force na Sauli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakuchapa 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] ukipigwa mkono na traffic ume-overspeed wanashangaa anatoka mdada tena mrembo haswaa[emoji23][emoji23]
Kwanza wanashangaa mdada anaendeshaje XT[emoji23][emoji23]Ntakuchapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kwenye taste yes lakini Kuna sehemu Huwa tunakubaliana kwa pamoja kwamba hiki kitu kizuri. Mfano Kuna baadhi ya nyimbo za Ferre Gola na Fally Ipupa ambazo Kila mtu atakubali hizi Kali lakini ikija kwenye nani mkali kuliko mwingine hapo Sasa utakutana na mahabaHivi nyie mnamfatilia ferre gola kweli??? Hivi kweli umfananishe ferre gola na fally ipupa kwa rhumba??? By the way kila mtu ana taste yake ya music ila najua hata fally ipupa anajua kwa rhumba hamfikii ferre gola. Huyu jamaa aachwe kama alivyo asee msimfananishe na mtu. Haya kasikilizeni nyimbo hizi, kinshasa, Legume, pakadjuma na poisson d'avril.
👆 nimekujibu post iyo apo juu mkuu.Hapa kwenye taste yes lakini Kuna sehemu Huwa tunakubaliana kwa pamoja kwamba hiki kitu kizuri. Mfano Kuna baadhi ya nyimbo za Ferre Gola na Fally Ipupa ambazo Kila mtu atakubali hizi Kali lakini ikija kwenye nani mkali kuliko mwingine hapo Sasa utakutana na mahaba
Haya kula chuma hicho mkuuKweli mkuu unachosema hata fally namkubali hasa kwenye kile kibao chake cha Afly'e kaua sana but when you come nani mkali nitakuambia ferre gola em burudika na goma la " Mea culpa" kwanza mkuu.
Naam👊Haya kula chuma hicho mkuuView attachment 2790845
Haya mkuu nikupitishe through memory lane [emoji1787]Nashangaa hapo kwenye list ya ya mtoa mada ya Ferre hakuna wimbo wa Chichiwash!
Anyways. Nilianza kupenda nyimbo za ferre pale nilipokua na date na mdada wa nchi za nje. Alikua anazihusudu sana hizo nyimbo na mpaka baadhi kuzitafsiri thoo yeye ni m+254.
Kuna Hilo goma la chichiwash lilikua linapigwa huku tukiwa sebleni tumefanya cudling la maana juu ya speaker kulikua na glass ya wine.
Basi ile glass ilislide mpaka ikaanguka na kuvunjika.
Mpaka leo Hua namkumbusha sana na ananiambia that was bad notation kwanza mahusiano yet yasingedumu.
Siku hiyo ndio nakanyaga ardhi ya 254. Nilikua Nina wasiwasi sana nitalalaje kwa dame afu ugenini. Mwenyeji wangu alinotice ule woga wangu. Akawaita mabeshte zake pale ikaandaliwa party na nyimbo zilipigwa ndio zilikua bolingo tupu plus mavimiminika uoga wote uliisha tukaanza kuyarudi.
Those songs zinanipa good memories back in time.
Naam naam mdqu.Haya mkuu nikupitishe through memory lane [emoji1787]View attachment 2792312