MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Haya mkuu muendee hewani huku kwenye background kuliwa na court Circuit [emoji1787]Huu uzi umenikumbusha dem wangu flan ivi enzi izo chuo alikua anaimba ngoma ya associe ya fallyiii aisee ilikua ni balaa, wacha badae nimpandie hewani.
Binafsi namkubali sana Mwamba Ferre Gola na ngoma yake ya court circuit [emoji1666]
Naam naam 🔥Haya mkuu muendee hewani huku kwenye background kuliwa na court Circuit [emoji1787]View attachment 2793766
Thanks 🙏...Kali sanaaa hiiKula chuma hicho mkuu
Ferre Golla ni mkali sana.
Ushahidi kasikilize hadi mwisho hili goma"Liberte"🔥🔥
Skiza vita imana na kilo 100 za ferreKabla sijaona huu uzi, nimesikiliza Mayday ya Fally Ipupa zaidi ya mara 10. Wimbo mtamu sana
ahaa! Sawaa!Anza na hii kwanza mkuuView attachment 2802338
Haya mzee sindikiza na MarathonSijui kwanini watu hua wanapenda kufananisha, kwamba mnafananisha ili kujua nani Bora zaidi?
Binafsi wote wanajua, hapa nafurahia album ya Dynasty 2 ya Ferre Gola Le Padre...
Nasisitiza wote wanajua