Kizazi cha sasa tambueni haya ndio mambo yanayoweza kukusababisha ukaua bila kujali Sheria

Unazijua sheria za nchi naza Dini?

Hujui kuna hukumu ya Kifo?

Sasa wewe Kama una mtazamo huo basi jichunge na hayo niliyoyataja hapo, ukijichanganya kuna watu hawana Simile utauawa upende usipende
Kuua kinyume na sheria
 
Sheria ipi hiyo?
Inategemea na sheria na Mazingira ya tukio.
Zingatia nilichoandika hapo.

Ukiwa Msaliti utajua wanakuua Kwa sheria ipi
Sheria ni hitaji la Jamii,
Watakua kwa sheria ya usaliti
 
Hizo Jamii ulizozitaja still zina kiwango cha juu Sana cha ujinga,thus utenda hayo.
Kuna jamii zimeendelea kama Wayahudi na Waarabu, kukutoa wewe uhai ni jambo la kifahari kabisa.
Tena dini zao zinawahamasisha wafanye hivyo kama sehemu ya hukumu takatifu (Divine Justice)......
Sasa ukienda kuishi na jamii kama hizi, halafu ukawafanyai chochote kibaya UNAKUFA KABISA.......
 
Nime like kwanza halafu ndio nikaanza kusoma,.......kwenye hii dunia elimu/maarifa ya chochote kile hasa jinsi ya kuishi na binadamu wenzako ni zaidi ya kumiliki tani ya dhahabu[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hii bandiko lifanyiwe lamination na kubandikwa pale Mnara wa Askari, Posta. Copy iperekwe makao makuu ya Wilaya zote nchini. UTAUWAWA TU. Hongera sana mkuu kwa bandiko nzuri.
 
Robert bhana, imagine unamvizia mke wa Jiwe wakati Jiwe lipo hai.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Embu fikiria umtoe Mama au Baba kafara ili upate Mali alafu mwisho WA siku Mkeo siku mnaachana ati anataka pasu Kwa Pasi embu niambie wewe unafanyaje? [emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23] we' jamaa wewe. Hapo ni kuua aisee, sina cha kupoteza
 
5. KUIBA ARDHI AU MIPAKA YA WATU.
Ukitaka kuuawa basi penda kudhulumu watu Ardhi zao, hata kwenye ngazi ya nchi tuu. Embu fikiria Uganda itake kuchukua Mkoa WA Kagera unafikiri nini kitatokea, unafikiri serikali itasema haina haija ya kupigana na kuuana kisa Ardhi, au itasema tuwaachie tuu. Uliona wapi mambo Kama hayo wewe.
Vita nyingi kama sio zote Duniani ni matokeo ya kugombania Ardhi,
Migogoro ya Ardhi sio lelemama, wengi wamekufa Kwa kuuawa iwe Kwa wazi au Kwa Siri.
Usije ukadhani Kwa vile wewe umezoea kumuachia Mungu ukadhani watu wote wanatumia kanuni hiyo, mfanyie hivyo mtu aliyepata Mali Kwa Mungu anaweza kumuachia Mungu, lakini unachukua Ardhi ya mtu ambaye hata hamjui huyo mungu wako unafikiri atakuacha hivihivi, tumieni akili kizazi cha Sasa.



....Wazungu nao. Juzi mnalalama kuhusu watu wa kaskazini mwa Tanzania kwa kuwa makatili, (I call it keeping it real)leo hii unajitikwa umungu na kudai Kuua poa kama wewe ni mzungu, mwarabu, myahudi n.k
Kweli?

Kwa hilo la 5. endeleeni kuja kwetu mkaleta mtafaruku, mtakumbana na hayo unayo bashiri yatokee.

Hakika kwa Afya ya Jamii uzi huu ni hatari.
 
Sitishi huo ndio ukweli
Sawa, Ukweli ni kuwa unatishia watu kuuwawa.
Ukweli huzuni/hasira ulizopata hivi karibuni zinaacha alama moyoni mwako.

Dukuduku na tahadhari unazozitoa zinajulikana-pamoja na Ukweli ulitaka kutoa dukuduku hii....
Ukaja kuchimba hapa...

Na kwa vile unajua fika kuwa hili ulioandika lina madhara ulianza na haya....
Andiko hili sijaliandika kuhamasisha watu wauane isipokuwa kuwakinga Watu wasijiingize kwenye Mkondo WA kuuawa Kwa Makusudi Kabisa.

Sipendi Wauaji Ila Kwa kweli sipendi zaidi watu wanaoharibu watoto wa wengine.

Taikon sipendi wauaji, Ila sipendi zaidi watu wanaodhulumu wengine Kwa VISINGIZIO vya kijinga jinga na watetezi WA kisasa wasiojua hata nature inavyofanya kazi.
Pamoja na hayo tahadhari ulizozitoa ni hizi...
Vijana wa siku hizi eleweni kuwa sio kila familia unaweza kuchezea watoto wake, kuna familia ukiingia ujue utakaa Kwa adabu zote na ukileta mchezo wa kijinga kutoka kwenu umekwisha,

Ukitaka kufa mapema kuwa na uroho wa Madaraka, pendapenda Madaraka, nakuhakikishia Utauawa bila kujali zipo sheria au hazipo.
Na ukawa suggestive hapa....
Watu dhaifu ndio huweza kukuachia hata ukiwafanyia mabaya na kuwadharau, embu jaribu kumfanyia hivyo Mwanasiasa mwenye Mamlaka au matajiri au wafanyabiashara wakubwa uone Kama watatumia kanuni hiyo ya kukuachia tuu.

Utauawa!
 
Mnatishia nani? nauliza hizo jamii ambazo hazijaendelea hawawezi kuwaua na mkafa kabisaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…