Kizazi cha sasa tambueni haya ndio mambo yanayoweza kukusababisha ukaua bila kujali Sheria

Ungesema kizazi cha Waafrika
 
We taikoni ni introvert? Maana unasema siyo muongeaji sana.
 
Tuliwahi poteza mtu muhimu sana kwa sababu ya Mke wa mtu.
 
Juzi nimepata simulizi la mchungaji wa kanisa x kuuwawa kisa mke wa mtu.....
wale wanaobadili mada kuu ETI "KAMA MKE WA MTU NI SUMU, BASI MI NI MAZIWA".
 
Juzi nimepata simulizi la mchungaji wa kanisa x kuuwawa kisa mke wa mtu.....
wale wanaobadili mada kuu ETI "KAMA MKE WA MTU NI SUMU, BASI MI NI MAZIWA".

Kuna Watu wanasema Afrika ndio kuna hizo mambo, Wakati kila Siku tunasikia Huko Ulaya, Asia na America Watu wakuuana Kwa Makosa yaleyale.
Binadamu ni Yule Yule hata angekuwa na rangi ya Zambarau
 
Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana!

Dawa ya ku-deal na vikundi vya namna hiyo ni Moja tuu

Mtu Kama hafuati haki za Binadamu hakuna haya ya kumpa haki za Binadamu.
Jino Kwa jino.

Yaani Ukate wake na Watoto wa watu alafu uchekewe, embu kuweni serious kidogo.

Kwa upande wa panya road au vitu vya namna hiyo kimsingi hapo ni Shaba.
Kwi Kwi Kwi
 
katika nyuzi zako zooooooote,....hii umetisha sana, umenena vyema sana MKUU...🙏🙏
 
Kwenye mke wa Mtu hapo ungebold kabisa maana vifo vipo kama vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…