Kizimbani kwa kujifanya yeye ni Rais Samia na kujipatia Tsh 40,000/-

Kizimbani kwa kujifanya yeye ni Rais Samia na kujipatia Tsh 40,000/-

Inatakiwa huyo wamsaidie kupata kipato cha halali.
Na wajue tu utapeli nchi hii unazidi kushika kasi.
Hata michezo ya kubahatisha ni utapeli! Tozo ni utapeli (wizi)
 
[emoji3][emoji3]Kudadadeki..kuna wamba ni hatari


Huyo aliyetoa hiyo 40k nae akamatwe
 
Huyo aliyetoa hiyo 40000 naye boya

Ova
 
Huyo aliyetoa hiyo 40000 naye boya

Ova
Nadhani sio boya,huenda anampenda sana Raisi wake kiasi ambacho ilibidi amkopeshe Rais wake au ampe Raisi wake kile alichonacho.

Nadhani hayo ni mahaba kwa Raisi wetu huyo Dogo anitumie namba zake nimrejeshee arbaini zake.
 
Itakua dogo alitumia meseji mtumaji kua tuma ya ubani,niko msibani kwa kaka yake Hussein Mwinyi,siwezi kuongea,tuchati tu.
 
Back
Top Bottom