Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Na kuhusu hukumu ya mahakama ya ICC wao vitu walivyo uliza ni vichache tu, kama mitambo ipo wapi ? ilizalisha umeme au haikuzalisha ? huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? Mkataba ulivunjwa kabla ya muda ?. Majibu ya maswali yote hayo ni ndio, ndipo mahakama ikatoa huku ya Dowans kulipwa haki yao kwa kile walichotuzalishia na kukitumia.
GenuisBrain hii article imejadiliwa sana humu JF kumbuka hawa Dowans walikuwa kilipwa hata kama umeme wetu wa Hydro-power unatosheleza 400megawatts ukiongeza wa IPTL ziada inakuwepo. watanzania watumia umeme hawafiki 20%leo tunatakiwa tulipe wote na wasio utumia eti mitambo ilikuwepo nchini,ilizalisha? ,ililipwa? (mimi bill sidaiwi na Tanesco) na tungeendelea kuwalipa hadi lini wakati mvua zilishajaza mabwawa?
Kumbuka tapeli huyo hela kapewa mkopo na CRDB akakodisha mitambo ya 30,000,000/ leo anatukamua kila siku alichukua chake wakati ofisi zao zikiwa jirani na Keys Uhuru st DSM km Richmond kaenda Dubai kanunua kisiwa
hebu GeniusBrain mwambie Mh atuonee huruma wabunge wenzake wa Mkoa wa Tabora wameshamtaja hata na Selelii