Kizungumkuti Dowans

Kizungumkuti Dowans

Na kuhusu hukumu ya mahakama ya ICC wao vitu walivyo uliza ni vichache tu, kama mitambo ipo wapi ? ilizalisha umeme au haikuzalisha ? huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? Mkataba ulivunjwa kabla ya muda ?. Majibu ya maswali yote hayo ni ndio, ndipo mahakama ikatoa huku ya Dowans kulipwa haki yao kwa kile walichotuzalishia na kukitumia.
GenuisBrain hii article imejadiliwa sana humu JF kumbuka hawa Dowans walikuwa kilipwa hata kama umeme wetu wa Hydro-power unatosheleza 400megawatts ukiongeza wa IPTL ziada inakuwepo. watanzania watumia umeme hawafiki 20%leo tunatakiwa tulipe wote na wasio utumia eti mitambo ilikuwepo nchini,ilizalisha? ,ililipwa? (mimi bill sidaiwi na Tanesco) na tungeendelea kuwalipa hadi lini wakati mvua zilishajaza mabwawa?
Kumbuka tapeli huyo hela kapewa mkopo na CRDB akakodisha mitambo ya 30,000,000/ leo anatukamua kila siku alichukua chake wakati ofisi zao zikiwa jirani na Keys Uhuru st DSM km Richmond kaenda Dubai kanunua kisiwa
hebu GeniusBrain mwambie Mh atuonee huruma wabunge wenzake wa Mkoa wa Tabora wameshamtaja hata na Selelii
 
Wezi wetu ni waelewa na wanajua kusoma alama za nyakati na ndio maana wametupunguzia pesa ambazo walikuwa wamepanga kutuibia kutoka Billion 185 hadi Billioni 94 baada ya watanzania kuamka kutoka kwenye usingizi wa amani, utulivu na mshikamano na kuanza kupiga mayowe ya mwizi, mwiziiii.... Tukichachamaa zaidi na kuendelea kuwazomea, kuna uwezekano mkubwa bwana Ngeleja akatutangazia kwamba wezi wetu wametusamehe. Jamani zidi kupiga mayowe
 
Jana kwenye pita pita yangu nilikutana na Mjumbe mmoja wa Bodi ya Tanesco. Katika maongezi nae nilimuulizia kuhusu suala la Dowans. Kwenye maelezo yake ni kuwa malipo ya Dowans ni halali kabisa, kwani wanacho kidai ni gharama za umeme ambao wao walizalisha na hawakuwahi kulipwa na Tanesco mpaka mkataba pale ulipo vunjwa.
Kwa maana hiyo basi, wanadai hela yao halali kabisa ambayo umeme ulizalishwa na mie na wewe tuliutumia. Sasa hapo malipo ambayo sio halali ni yepi ? au tuna nia ya kudhulumu haki za watu ?.

Na kuhusu hukumu ya mahakama ya ICC wao vitu walivyo uliza ni vichache tu, kama mitambo ipo wapi ? ilizalisha umeme au haikuzalisha ? huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? Mkataba ulivunjwa kabla ya muda ?. Majibu ya maswali yote hayo ni ndio, ndipo mahakama ikatoa huku ya Dowans kulipwa haki yao kwa kile walichotuzalishia na kukitumia.
Taahira
 
Kumbe inawezekana kutunga ka-stori ili kaendane na mtazamo wako eeh? Nilikuwa sijui hiyo...

Ndg Che, hawa watu ni very sophisticated wanajalibu kuhararisha wizi wao. These guys can be every where; JF, Mwananchi, Mtanzania Daima, yaani kwenye media zote. Ili mradi waharalishe ukwapuaji wao. Lakini tumeisha sema Watanzania wa sasa hatudanganyiki!!!!!!!!!!!!! Hata muweke post ngapi kwenye blogs, media, sisi tumeisha wastukia. Kwanza offisi za Dowans ziko wapi hapa bongo??? Zilianza kufanya kazi lini????Na huyo manager mkuu wa Dowans ni nani, si ajitokeze jamani!!!!!!!!! Kwa nini Watanzania tuibiwe hivi hivi kimacho macho. Mziki huu ni bora upelekwe bungeni kwa watunga sheria wetu. Achana na Genius Brain chakachua, tupo macho ndugu!!!!!!!!!!
 
Bungeni suala la dowans liliisha zamani, hata Pinda ameisha sema huko sio sehemu yake ni suala la kisheria na si kisiasa
 
Abdulhalim Taahira (Tunashukuru kwa taarifa)

Ndugu TaahiraBRAIN,

Tunajua CCM ndio baba na mama yako , tunajua lazima mishipa ya shingo ikutoke na kuitetea maana siku mirija ya ufisadi ikikatwa na wewe wafwa kwa njaa.
 
Nimewaambia kile ambacho ni ukweli, walipwe dowans pesa zao kwani ni halali yao kwa umeme wao walio tuzalishia na tukautumia
Wewe kimakweli ni Malalia Sugu, umeibukia hoja ya Dowans. Hivi unalipwa kiasi gani na hao SISIEM Pamoja RA. Umekomalia hayo malipo bila kujali ndugu zako wa kule Kanyenye, sijui Mtipula, au Mswaki wako hali gani kiuchumi. Kawaambie hao matajiri zako wawe na huruma kwa ndugu zako. La sivyo hawataki kusikia basi tukutane bungeni na watunga sheria wetu; Kwa vile mnaweza kutuzidi wingi, basi tukutane 2015 ingawa tutakuwa tumechoka.
Hicho ni kitanzi Baba ebu ingia wenyewe kwa ulaini tuwasurubu!!!!!!!!!!!!!
 
JF, home of great thinkers. There once a time was a great thinker called Malaria Sugu. He died and on the third day he rose again with a genius brain.
Thanks Jasusi this is the very Guy Malaria Sugu. Umengundua ni yeye ntiririko wa post zake ndio huo huo. Basi awaambie mabwana zake kuwa HIYO DOWANS HATUILIPI NGO!!!!!!!!!!!!!!
:nono:
 
Jana kwenye pita pita yangu nilikutana na Mjumbe mmoja wa Bodi ya Tanesco. Katika maongezi nae nilimuulizia kuhusu suala la Dowans. Kwenye maelezo yake ni kuwa malipo ya Dowans ni halali kabisa, kwani wanacho kidai ni gharama za umeme ambao wao walizalisha na hawakuwahi kulipwa na Tanesco mpaka mkataba pale ulipo vunjwa.
Kwa maana hiyo basi, wanadai hela yao halali kabisa ambayo umeme ulizalishwa na mie na wewe tuliutumia. Sasa hapo malipo ambayo sio halali ni yepi ? au tuna nia ya kudhulumu haki za watu ?.

Na kuhusu hukumu ya mahakama ya ICC wao vitu walivyo uliza ni vichache tu, kama mitambo ipo wapi ? ilizalisha umeme au haikuzalisha ? huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? Mkataba ulivunjwa kabla ya muda ?. Majibu ya maswali yote hayo ni ndio, ndipo mahakama ikatoa huku ya Dowans kulipwa haki yao kwa kile walichotuzalishia na kukitumia.
yaani ukamsikia huyo member wa bodi ukaamini moja kwa moja? kwa taarifa yako na huyo member feki wa bodi, pesa wanayodai walizalisha umeme ni takribani 25 mil dola hajakwambia imefikaje hiyo bil 94 na ushehe! hata kama ni "halali" tunamlipa nani? kwa kipindi chote walichoacha mitambo yao pale kwenye kiwanja cha tanesco kodi ya pango kakwambia ni sh ngapi? je imelipwa? kuna maswali mengi hayajajibiwa !
 
Majibu ya maswali yote hayo ni ndio. Mitambo ipo wapi? NDIO TANZANIA
Ilizalisha umeme haikuzalisha? NDIO ILIZALISHA
Huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? NDIO WALIKUWA WANALIPWA
Mkataba ulivunjwa kabla ya muda? NDIO ULIVUNJWA
Hii ndio home of great thinkers, tafakari kabla hujajibu wewe
Ngoja nikamuulize mwalimu wangu wa Lugha.
 
Nilichofurahia ni kwamba huyu jamaa kaleta BREAKING NEWS kuwa TANESCO huwa hawalipi dues za wadeni wao, jambo ambalo ni aibu na kashfa kubwa sana kwa shirika kubwa hivi.
Lakini pia napenda niwape Watanzania ukweli unaotisha kwmb tulishaanza mapema Januari kulipia Dowans kupitia bili za umeme.
Hawa jamaa waligundua suala la Dowans lingeleta mjadala wakaamua kutumia njia ya mkato. Kwanini hamshituki bili zimedouble, lakn mgao ndo uko peak?
We've already been fkced up.
 
naunga mkono hoja, hakuna kuwalipa dowans hata sent tuendelee kukomaa nao.
 
Mfa maji hakosi kutapa tapa...... Hatupokei vya bure sisi na swala la dowans liko wazi, wazua tena mkubwa
 
Jana kwenye pita pita yangu nilikutana na Mjumbe mmoja wa Bodi ya Tanesco. Katika maongezi nae nilimuulizia kuhusu suala la Dowans. Kwenye maelezo yake ni kuwa malipo ya Dowans ni halali kabisa, kwani wanacho kidai ni gharama za umeme ambao wao walizalisha na hawakuwahi kulipwa na Tanesco mpaka mkataba pale ulipo vunjwa.
Kwa maana hiyo basi, wanadai hela yao halali kabisa ambayo umeme ulizalishwa na mie na wewe tuliutumia. Sasa hapo malipo ambayo sio halali ni yepi ? au tuna nia ya kudhulumu haki za watu ?.

Na kuhusu hukumu ya mahakama ya ICC wao vitu walivyo uliza ni vichache tu, kama mitambo ipo wapi ? ilizalisha umeme au haikuzalisha ? huko nyuma walikuwa wanawalipa au hawakuwalipa? Mkataba ulivunjwa kabla ya muda ?. Majibu ya maswali yote hayo ni ndio, ndipo mahakama ikatoa huku ya Dowans kulipwa haki yao kwa kile walichotuzalishia na kukitumia.
Kumbe huyu jamaa ni ubwabwa namna hii hajui hata kesi inayoongelewa, kama mtu hujui kitu bora kukaa kimya kuliko kuonyesha umbumbumbu wako hadharani.
 
well naona Mods wamekuwa very good at merging threads kasoro hizi za DOWANS ambazo naona zinarun into 30 pages as I write

in that respect na mimi nimeona boara niingine kwenye hiii bandwagon nianzishe yangu na baada ya 1 hr naanzisha nyingine kwani naona ndio order of the day

The most weirdest thing katika huu mjadala wa RICHMOND ambao naona watu wana kila document ni kuwa husikii majina ya:

1. Tender process ilivyokuwa

2. TENDER VALUATION ilivyofanywa

3. Katika Valuation team hakuna anaytajwa

4. Final report ya Valuation team

5. Mapendekezo yaliyopelkwa kwa DG wa TANESCO

6. Majina ya wanasheria wa TANESCO walioridhia haya

7. Majina ya waliokuwa consulted kule WIZARA YA NNISHATI

8. Majina ya waliohusika kule WIZARA YA SHERIA

9. Ushauri wao kwenye hili jambo

10.Role ya PRIVATE law firms kuishauri TANESCO

11. Mchanganuo ulivyofanywa mpaka kuwateua hawa private lawfirms na sababu...PPA ilifuatwa na je PPRA waliridhia?

12.Majina ya hao wahusika from the private law firm

13. Walilipwa Kiasi gani per hour?

14. Comments za DG wa TANESCO zilikuwa zipi?

15. Wanasheria wizara ya NISHATI walikuwa akina nani na walimpa ushauri gani waziri?

16. Wahusika wa PPRA ambao walikuwa consulted na comments zao

naona kila kukicha tunajadili maamuzi ya kesi na hao wanao likisha hizi documents mbona hawaleti full mzigo includi hayo majina?

Unles JF is not as influential as it used to back in the day when people used to trust it with leaked docs...Kulikoni au kitumbua kishaingia mchanga?

Au kama wanavyosema wanywamwezi kuwa the GAME HAS BEEN RIGGED!!

Unless kuwepo public inquiry into this fiasco

Nakuunga mkono, hawa wote wajulikane na waliyoyasema.
Asante
 
1. Tender process ilivyokuwa

mkuu....Slidingroof...kabla ya hayo.... concern kubwa katika hili ni pre tender process...je kulikuwa na pre qualification .... tendering mode ilikua ni selective tendering tungependa kujua hayo

ningependa kujua transparency ya both pre tendering and tendering stage ilikuaje.....
 
Back
Top Bottom