Labda ungetufafanulia unadhani kipi kinapaswa kuanza?? Kujengea uwanja ndio ndege zitue au ndege zitue Kwanza afu ndo uwanja ujengwe??
Uwanja huu na hifadhi hizi bado ni mpya. Tunahitaji muda wa kuboresha miundombinu ya kuhudumia watalii ndio utaona wanatua hapo. Miundombinu hiyo ni pamoja na Mahoteli, viwanja vya ndege na barabara ndani ya hifadhi. Hivyo, ndugu zangu haya Mambo hayatokei overnight. Ni busara Kabla mtu hajaanza kuongea hovyo kwa maneno yakulishwa, tutumie akili zetu kufikiri.
..uwanja ndege na hifadhi ya wanyama pori ni kwa ajili ya hoteli yake ambayo amejenga huko.