Kizungumkuti hifadhi ya Burigi


..uwanja ndege na hifadhi ya wanyama pori ni kwa ajili ya hoteli yake ambayo amejenga huko.
 
..uwanja ndege na hifadhi ya wanyama pori ni kwa ajili ya hoteli yake ambayo amejenga huko.
Jamani chadema waongo, mungu hapendi, Sasa hiyo guest ya makigo ndo ishakuwa yake kweli?
 
..uwanja ndege na hifadhi ya wanyama pori ni kwa ajili ya hoteli yake ambayo amejenga huko.
Yaani 2010 mlisema vituo vya cameloil na lakeoil Ni vya rizwan Sasa nimeanza uongo mwingine, hata shetan sio mwongo hivyo
 

Dah watu mna mawazo mafupi sana aisee. Kwahiyo kiwanja kile amejijengea sio? So hakitatumiwa na mtu mwingine yeyote ama?
Yaani mtu unadiriki kusema angejenga miradi inayogusa wananchi badala ya uwanja wa ndege, so uwanja huo hautawagusa wananchi??
Haya ni mawazo ya ajabu sana. Hatutokaa tuendelee kwa chuki hizi walahi
 

..uwanja hautumiki sasa hivi, ndiyo maana nikasema uwepo wake hauwagusi wananchi.

..mabilioni yaliyotumika kujenga uwanja wa ndege yangeelekezwa kusaidia sekta za kilimo, mifugo, au ufugaji, wananchi wangefaidika zaidi kuliko ujenzi wa uwanja wa ndege.

..hatutokaa tuendelee kwa UFISADI na UBINAFSI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…