Kizuri ni kwamba ubongo haujui tofauti kati ya reality na illusion. Tumia hio hack kwa manufaa yako

Kizuri ni kwamba ubongo haujui tofauti kati ya reality na illusion. Tumia hio hack kwa manufaa yako

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Hello bosses and roses.

Leo nimekumbuka kitu, miaka ya zamani niliwah kuwa na maumivu ya mgogo yaani nikikaa tu nasikia mgongo unauma, hio hali ilikua inanipa shida sana hasa kipindi cha mitihani nikiwa shuleni, nashindwa kufocus kukimbizana na muda sababu ya maumivu ya mgongo, ila baadae nikaanza kutumia mbinu ya kujidanganya.

Yaani nilikua nikikaa nikaanza kuhisi maumivu basi nakaa kama dkk 2 hadi 5 najidanganya hayo maumivu siyasikii, nafocus kwenye kitu kingine kabisa mfano pale shuleni tulikua na lawns za green sana, nilikua naangalia dirishan nafocus kwenye huo ukijani wa lawn hadi feeling ya maumivu inakata kabisa na nasahau kama nina maumivu hayo.

Kisha nahamisha focus polepole kwenye mtihani naendelea.

Sikujua kumbe nilikua nafanya meditation bila kujua. Japo leo sitaki kuongelea kuhusu meditation, nataka niongelee kuhusu hii hali ya ubongo kutoweza kutofautisha kati ya uhalisia na illusion, bali inachukua kile ambacho utaweza kukiingiza huko kwenye ubongo.

Hii ndio sababu kuu inayofanya dogo wa shule fln ya boys huko ndanindani afanye s.ex na Beyoncee aliepo marekani, na akapizi kama vile kweli kabisa yupo na Beyoncee kupitia tu masturbation sababu ubongo wenyewe hauwezi kutofautisha beyonce halisi na huyo wa akilini kwako, hivyo dogo akiweza kuvuta zile hottest pictures za beyonce basi ubongo unajua beyonce yuko hapa anakamuliwa sshv, na ubongo utatuma signal damu iende huko chini, mnara unasoma na ukisiguliwa kwa muda dogo anamaliza kazi, same end result kwa huyohuyo lets say JayZ anaekula hio mali live.

Hivyo basi hio hack ni muhimu sana, ukiweza kuitumia itakusaidia kuvuka hali zozote mbaya unazopitia kwenye maisha, itakuondolea depression, itakusaidia kucontrol maumivu, etc......

Peace!
~ kali linux
 
Hivi ndivyo hata ukiachwa unaweza kutumia hiyo Hack ukamsahau huyo mbwa ambae hathamini penzi lako
Uki-imaster hio hack trust me utabadilisha sana maisha yako, utakua mtu ambae 'you dont give a fvck about anything' sababu utakua na uwezo wa kuendesha 'mind' yako na 80% ya matatizo yanatokana na 'poor mind management'
 
Maada nzuri sana ya Power of psychology, ukiwa na uwezo umahiri kielimu nafsia unakuwa mshindi wa mambo mengi hasi katika ulimwengu huu wenye chuki nyingi na negative thoughts kuliko uchanya wa mawazo na upendo.

Ukiweza kusimamia fikira zako namna unavyowaza unakuwa chanya muda wote na wakati wowote.

Fikiri katika video ya utupu Nandy na Billnass na kile kilichowafanya kusimama tena ni Power of psychology the same kilichotamkwa hapo juu. Ukijua ku-control fikira zako na unakuwa imara na kupangilia mawazo kwa kuyatoa na kuyaingiza, una flow katika uchanya na unakuwa chanya kimatokeo.
 
Good one
 
Hiyo kitu ndiyo hutokea kwa wale wakivuta bangi wanafanya kazi kubwa na ngumu juani au kwenye mvua.
Sure,

Illussion ina nguvu sana, coz ukiucommand ubongo wenyewe unatuma tu signal kumove glucose (energy) kwa njia ya damu kwenda misuli kunakopaswa, mfano huohuo wa masturbation.

But wait... ni double edged sword kwa maana kwamba ukiweka mentality za hovyo nao unadumaa.

So ili ku-utilize hii concept ni muhimu sana kuwa na positive mentality
 
Hiyo technique inaitwa ground technique 5:4:3:2:1 unatumia milango mitano ya fahamu mfano macho, masikio, pua, mdomo kucontrol mind yako, mfano unapopata negative thoughts tu unaweza kutumia masikio una weka concentration kutambua sauti nne unazozisikia zinatoka kwenye kitu gani alafu unazitafsiri, kitendo hiki kinaamisha haraka akili yako toka kwenye negative thoughts na kupeleka kwenye utafiti wa kujua sauti hizo, wataalamu wanasema kila kitu kinaanzia kwenye akili na kinatakiwa kimalizike kwenye akili.
 
Back
Top Bottom