Kizuri ni kwamba ubongo haujui tofauti kati ya reality na illusion. Tumia hio hack kwa manufaa yako

Hivi kumbe Ubongo na Fikra ni vitu viwili tofauti .....🤔
Yes UBONGO (BRAIN) NI TOFAUTI NA FIKRA (MIND), UBONGO NI KAMA CONTROL BOX/SERVANT KWENYE MWILI NA FIKRA NI KAMA TECHNICIAN/ MASTER WA UBONGO/CONTROL BOX/ SERVANT, UBONGO(SERVANT) WENYEWE HAUFIKIRI BALI UNAPOKEA MAELEKEZO TOKA KWENYE FIKRA(MIND) YAWE MAZURI AU MABAYA ALAFU UNATENDA KULINGANA NA MAELEKEZO YA FIKRA(MIND), NJIA JAMAA AMBAYO AMEELEZEA HAPO NI INAMAANISHA WAKATI FIKRA IMETUMA TAARIFA MBAYA KWENDA KWENYE UBONGO KABLA HAUJATENDEA KAZI HIYO TAARIFA, AU UBONGO UMEANZA KUTENDEA KAZI TU KWA KUTUMIA TENA FIKRA(MIND) UNATUMA TENA TAARIFA TOFAUTI NA ILE YA MWANZO HIVYO UBONGO(SERVANT) UTAANZA KUTENDEA KAZI TAARIFA MPYA ILE YA MWANZO MBAYA ITAKUWA IMEPOTEA, NOTE TECHNIQUE HII SIO RAHISI INAHITAJI PRACTICE PRACTICE.
 
Anhaa kumbe 👏
 
Mada yako inaweza ikawa ipo sahihi lkn umechanganya mambo, nafikiri nadharia yako haifanyi kazi sehemu zote isipokuwa kwenye mambo yakufikiria!.. maana ukigusia uhalisia umegusia vitu vingi mfano uwe na kansa huwezi kuiteketeza kwa njia hiyo, uwe huna mguu huwezi kuuotesha kwa nadharia yako!.

nakupinga hapa ubongo unajua halisi na kisicho halisi.. kumbuka misamiati yote hiyo miwili imetoka kwenye huohuo ubongo kwa maana ubongo uligundua tofauti hizo!.
 
Akili yako inaweza kukugeuka na ikakuletea matokeo negative.
Tena akili ni most dangerous weapon on the world, chochote kile inachotaka utafanya na matokeo utayapata tu kama haujajua namna ya kuendesha akili yako, maana kila kitu kinaanzia kwenye kwenye akili na kinatakiwa kiishie kwenye akili kwa haraka sana kabla hakijaleta madhara.
 
Hakika..kuna mzee mmoja anaitwa Sadhguru ni muhindi. Huyo mzee ni legend wa Hizo mambo
 
Vip mkuu nikifikiria kuwa nimepata hela nyingi pia inaweza ikawa ni kweli?/
 
kakosea kukuelezea rahisi ni hivi ubongo ni kiwanda fikra ndio product inayozalishwa na ubongo.
Hio analogy yako nayo haipo sahihi sana kwa sababu bado kuna debate inaendelea

Wengine wanasema mind ni product ya ubongo lkn wengine wanadai mind ni product ya materialism & physical processes.

Sababu kuu ni kwamba mind inaweza ku-influence brain activities lkn pia brain activities zinaweza ku-influence mind. Kama vile tu Issue ya "kuku na yai kipi kilianza"

Ni debate ndefu sana hii kati ya pyschologists na philosophers

Lkn hio yote haiondoi fact kwamva you can hack your brain kama nlivoelezea hapo juu, na hio iko manifested na concepts nyingi mfano swala la masturbation kama nlivosemea hapo juu
 
Kuna kitu hujafahamu bado.

Ulishasikia concept ya "Phantom Limb"?

Mwanajeshi mmoja kwenye WW2 alikatwa kabisa mguu lkn akawa bado anamwambia rafiki yake anahisi kikanyagio cha mguu wake kinauma. Why?

Because in reality jamaa kakatwa mguu na mguu haupo BUT in illusion ubongo unajua bado mguu upo sababu ya ile mapping iliopo kwenye mind, na ndio maana inatengeneza hadi hayo maumivu ya kwenye kikanyagio, but in due time mind itaadapt to reality na brain pia hivyo jio illusion kupotea.

Sasa nikirudi kwenye point yako, uko sahihi khs limits za hii hack, nakubali haifanyi kazi katika kila situations lkn kuna situations ambapo inafanya kazi lkn zinahitaji nguvu ya ziada ndio maana watu wanatumia madawa kama bangi na heroine kuidanganya akili yao, ila the end result ni hio hio nlosemea hapa yaani "Kutengeneza illusion ili kuhack ubongo u-concetrate energe eneo fln"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…