Kizuri ni kwamba ubongo haujui tofauti kati ya reality na illusion. Tumia hio hack kwa manufaa yako

Ndio maana kuna silaha ambayo hata USA anaiogopa coz inatengenezwa kwenye mind "Mabom ya kujitoa muhanga"
 
Uki-imaster hio hack trust me utabadilisha sana maisha yako, utakua mtu ambae 'you dont give a fvck about anything' sababu utakua na uwezo wa kuendesha 'mind' yako na 80% ya matatizo yanatokana na 'poor mind management'
That's FUCKING true hii hack hata ukiwa unaumwa ukahisi labda una marelia kitendo cha kwenda kupimwa na ukaambiwa hauna marelia automatick ile homa inakata na unaamka kesho fresh kabisa
Ndo mana kuna jamaa humu alikuwa na kampeni anasema ukimwi sio ugonjwa ni mindset shida ni zile ARV ndo ugonjwa sasa
kitendo cha kuanza kunywa na kuacha tu ndo shida lazima uende na maji
sasa hapo hiyo hack tool yako ndo inapoApply kwann kitendo cha kutopima ukimwi utaishi vizuri parasite yoyote ama bacteria au virus ikija utadeal na hizo ishu kilingana na dawa husika then utapona utakuwa huna habari kabisa na mambo ya ukimwi
lakini kitendo cha kuwa mtumiaji wa ARV so ugonjwa wowote ukikupata mindset yako itaanza kudeal na ukimwi kwanza kbla ya hizo parasite au virus ama bacteria so
Automatick unajidhoifisha afya yako na kufanya hizo parasite virus am bacteria zipate kukushambulia vizuri 7bu unatengeneza weakness katika kinga za mwili wako kwa hofu ya ukimwi

Anyway sijasema msipine hapana pimeni ukimwi kukiwa na uhitaji wa lazima sana kupima
Sasa mtu uko bieee nzima wa afya unauhitaji wowote wa kupima ukimwi unaenda kupima ukimwi ili iweje tena utakuta mtu anapima siku ya kwanza anaambiwa hana aamini anaenda tena kituo kingine kupima
Nashindwaga kuwaelewa wanataka nn

So hilo jambo ulosema ni kweli na nakubaliana na wewe ni kweli na ukichunguza utagundua kuwa UGONJWA hutibu ugonjwa mwingine
Meean una U.T.I inakusumbua
Kabla hujapona ukapata shambulio la tumbo ukawa unaharisha basi AUTOMATICALLY U.T.I inaponaa na ukifanikiwa kuharisha na ukapona na kma ulikuwa unatatizo la kukosa hamu ya kula basi hilo tatizo hupotea
 
Well said chief.

Na sio magonjwa ya mwili tu, hata hali za maisha kama ufukara, roho mbaya, hate etc... yote chanzo kikubwa ni mind, na ukiweza tu kucontrol kwa kutumia hio hack utashangaa namna maisha yako yanavyobadilika.
 
Unayajua maumivu ya sicklecell kwel ww?

Iyo hack nishaijalibu sana ndio ubongo unaweza sahau ila kwa mda mfupi sana akili inarudi pale pale kwa maumivu

Ukae kwa baridi afu uudanganye ubongo uko juani
 
"nakubali haifanyi kazi katika kila situation"

mi nilikuwa nahitaji hii kauli yako tu hapa najua ushaelewa hizo nyengine ni mbwembwe tu!
 
mh! mkuu acha kujichanganya tena usipende kumix mambo sana utakuwa unakosa kitu sahihi!, alasivyo napata mashaka ni aidha upo kwenye mabadiriko ya kifikra!.. usije ukafikiri nimekutusi hapana ni kila mtu hupitia hivyo mtu anakuwa anadaka vitu nakumixmix!.. vitu vyengine huwa vipo very simpo ila watu mnapenda tu kuvifanya viwe complicate silazimishi ukubaliane namimi lkn ukikaa vyema utaelewa.. mambo yapo hivi tu.


Ubongo (brain) ni kiungo kipo ndani ya kichwa ndio ile organ nyeupe inayoshikika.
akili (mind) huu ni uwezo wa ubongo huu haushikiki huwezi kuishika akili, ila tu unaweza kushika end product ya akili ikiwa imeshatengenezwa ktk uhalisia mfano uliwaza Kutengeneza kiti chenye matairi, hauwezi kushika hilo wazo kwa mikono mpk ulilete ktk uhalisia na wazo ni fikra aidha ipo kwenye process ama limeshakuwa complete ila bado kuletwa ktk uhalisia.

hatuwezi kusema mtu aliefariki ana akili kwa maana ubongo wake upo lkn haufanyi kazi kutokufanya kazi maana yake ule uwezo haupo tena(hana akili) na hata kufikiri hakupo tena maana kifikiri ni sehemu ya akili pia (uwezo).. simple and easy sasa hao wanaotwangana vikumbo kubishana acha watwangane wao ila mimi nawataafsiri kama kuna nyuzi zimelegea..🤣

hiyo kauli ya mwisho just a joke.
 
Duuu! Ulivyoanza mi nirifikiri, unakuja na jambo la maana,ili kujenga, kumbe unaongelea ngono!
Wa bongo mmelogwa na nini? Kwenye chombo cha habari watu wana discus mambo ya Balthazar! Eti ukikutana na mke wake utampa neno gani!
 
Jidanganye kwamba nchi yako haijatekwa na majizi ya Ccm halafu utupe mrejesho
 
Uki-imaster hio hack trust me utabadilisha sana maisha yako, utakua mtu ambae 'you dont give a fvck about anything' sababu utakua na uwezo wa kuendesha 'mind' yako na 80% ya matatizo yanatokana na 'poor mind management'
Uko sahihi. Mateso mengi tunayokutana nayo ni ya kujitakia. Kuna jamaa yangu zamani sana aliniuliza. Hivi ukipishana na mwanamke mzuri sana halafu amejazia nyuma unapogeuka unapata faida gani zaidi ya kuanza kuumia kihisia? Hili limenisaidia sana kwani siku hizi mambo ya kugeuka sina na najifanya kama nimekutana na dume mwenzangu tu.
 
"nakubali haifanyi kazi katika kila situation"

mi nilikuwa nahitaji hii kauli yako tu hapa najua ushaelewa hizo nyengine ni mbwembwe tu!
And that explains your mentality....

huwezi tengeneza argument yoyote constructive kwa akili hizo
 
Daaah una safari ndefu, ila sijui umeamua kutonielewa au unataka kurefusha tu mjadala, anyway nitakujibu mara ya mwisho...

Hv umeshajiuliza kwa nn elon musk ameanzisha startup ya neurallink?

Kwa nn asingechukua ubongo (BRAIN) na kutafuta njia za kuutunza kisha kuuplant tena kama wanavyotunza figo lkn anataka aweze kudownload mind ya binadamu na aweze kuiplant tena ikihitajika?

Ukipata swali la hilo jibu utakua umenielewa, otherwise haina haja ya kurefusha mjadala kama hatuelewani.
 
Duuu! Ulivyoanza mi nirifikiri, unakuja na jambo la maana,ili kujenga, kumbe unaongelea ngono!
Wa bongo mmelogwa na nini? Kwenye chombo cha habari watu wana discus mambo ya Balthazar! Eti ukikutana na mke wake utampa neno gani!
Mkuu, elewa mifano.

Kama kwa utu uzima huo bado hauna uwezo wa kuelewa mifano basi nakupa pole sana.

Mfano umetumika kutokana na Muktadha uliopo. Na ni mfano hai ambao ni mojawapo ya effect ya hio kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…