Pre GE2025 KKKT nayo yajitosa Bungeni kutoa maoni yake kuhusu Sheria za uchaguzi

Pre GE2025 KKKT nayo yajitosa Bungeni kutoa maoni yake kuhusu Sheria za uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Screenshot_2024-01-09-13-01-10-1.png


Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi .

Kanisa hilo limewakilishwa na Askofu Shoo , ambaye pamoja na mambo mengine ameitaka kamati hiyo ya Bunge kuhakikisha maoni mazuri yanayotolewa na wadau yafanyiwe kazi haraka ili kuhakikisha Uchaguzi unakuwa huru na Haki .
 
Sauti ya Watu ni SAUTI ya MUNGU. Kukata kusikIa SAUTI ya MUNGU ni kukaribisha LAANA kwenye NCHI. OLE!
 
Back
Top Bottom