Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Whom do CCMs fear to take heed of those noble calls?NAWAHAKIKISHIA CCM KWA UFIDHULI WAO, WILL NOT HEED TO THESE NOBLE CALLS!
NONE! THEY HAVE GUNS AND BOMBS AT THEIR DISPOSAL, WHY WORRY!Whom do CCMs fear to take heed of those noble calls?
Hapa ndugu zetu wapendwa WAISLAM wakiwasilisha maoni yao, kazi imeisha na MAONI lazima YAZINGATIWE.NONE! THEY HAVE GUNS AND BOMBS AT THEIR DISPOSAL, WHY WORRY!
Kuna siku hayo masilaha yao hayatafanya loloteNONE! THEY HAVE GUNS AND BOMBS AT THEIR DISPOSAL, WHY WORRY!
Nyie BAKWATA hamtaki kutoa maoni ?Tunasubiri zamu ya Shehe Ponda
Hawa hawana shida. Ili mradi aliyepo juu pale ni mwenzao hawaoni tabu ya katiba au tume iliyopo.
Hawachelewi kushauri wakati wa uchaguzi kila mwanaume awe na mke zaidi ya mmoja kama walivyoshauri kwenye haki jinai binti wa miaka 14 aolewe😁
Correct💯% na sidhani kama watasema chochoteHawa hawana shida. Ili mradi aliyepo juu pale ni mwenzao hawaoni tabu ya katiba au tume iliyopo.
Kwani wao ni sehemu ya Watawala ?Correct💯% na sidhani kama watasema chochote
Chama cha MafedhuliNAWAHAKIKISHIA CCM KWA UFIDHULI WAO, WILL NOT HEED TO THESE NOBLE CALLS!
Nimuombe Moderator atusaidie..Maoni ya Maaskofu wa CCT [ Protestants + KKKT ] haya hapa.
.. Erythrocyte naomba upandishe link iwe mwanzoni mwa thread yako.
View: https://m.youtube.com/watch?v=2ou_i8vl-Tk
Naomba ni yasikie na TEC..Maoni ya Maaskofu wa CCT [ Protestants + KKKT ] haya hapa.
.. Erythrocyte naomba upandishe link iwe mwanzoni mwa thread yako.
View: https://m.youtube.com/watch?v=2ou_i8vl-Tk
Mkuu Asante sana..Maoni ya Maaskofu wa CCT [ Protestants + KKKT ] haya hapa.
.. Erythrocyte naomba upandishe link iwe mwanzoni mwa thread yako.
View: https://m.youtube.com/watch?v=2ou_i8vl-Tk
Kuna vitu vinawafanya wawe sehemu ya watawala 😁Kwani wao ni sehemu ya Watawala ?