KKKT waunga mkono uwekezaji Bandarini, TEC nao wataunga tu

KKKT waunga mkono uwekezaji Bandarini, TEC nao wataunga tu

Hujamalizia alichosema, Mmekaa tu kupotosha, ujasikia pia aliposema na tukiwakosoa msiseme tusiingize udini, kasema wanaunga mkono uwekezaji, sio DP world, as of DP world kasema tulishakuona na kukushauri, na tunaamini utafanyia kazi ushauri wetu.
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.


Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
Safi sana,tena amesema viongozi wa dini walienda kukutana na Rais na wakatoa maoni Yao

Swali Hili.la TEC limetoka wapi? Upuuzi wa kujifanya wao ni spesho sana hapa Tanzania
 
Mitambo yote imehamia bandarini saiz mambo mengine hayapati coverage!!

Achaneni na zimwi la Bandari,

Halina AFYA Kwa utengamano wa Nchi🙏🙏
 
Back
Top Bottom