Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemuelewa Shoo??Walete hawa wataambiwa hawana elimu pia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Kikundi cha watu wachache hawawezi kuzuia maendeleo ya nchi kwa matamko yao ya mchongo .
Sasa kuna uwekezaji ambao hauna mkataba? We vipiKasema uwekezaji na si mkataba.
Na bado mnajifanya ni wasomi na kuwatukana waislamu hawajasoma!Kasema uwekezaji na si mkataba.
Sawa, kwani kazungumzia limkataba lenu la kitumwa?? Kama hujamuelewa Shoo wewe ni Kilaza.Sasa kuna uwekezaji ambao hauna mkataba? We vipi
Limkataba lenu ni la kitumwa hatulitaki ni mpuuzi tu na mpumbavu atakubali kuukubali ule mkataba, yani watu mpo tayari kuwa watumwa katika Nchi yanu.Na bado mnajifanya ni wasomi na kuwatukana waislamu hawajasoma!
Cha ajabu hata akili ya kuelewa vitu vidogovidogo huna.
Kuna uwekezaji usiokuwa na mkataba?
Ukishaunga mkono uwekezaji maana yake umekubali mikataba ya huo uwekezaji.
Shoo yeye anaunga mkono uwekezajiyoyote yule aje kuwekeza.
Sio kurekebisha vipengele vyenye mapungufu TEC wao hawautaki kabisa mkataba wenyewe yani kwa kifupi hawawataki DP world.
Tatizo nini mbona mikataba mingi ina mapungufu na hawajatoa tamko la kuikataa kwanini iwe DP world pekee au kwa sababu ni warabu(pengine wangekua wazungu wangewakubali) au kwa sababu maslahi yao yameguswa hapo bandarini?
Huna akili!Limkataba lenu ni la kitumwa hatulitaki ni mpuuzi tu na mpumbavu atakubali kuukubali ule mkataba, yani watu mpo tayari kuwa watumwa katika Nchi yanu.
Shame on you. [emoji57]
Haya umemuelewa wewe😅Umemuelewa Shoo??
Acheni kulazimisha mambo. Uwekezaji hapingwi Bali vifungu vya mkataba wa uwekezaji. Shoo kaunga mkono Nia njema ya uwekezaji ila amekuwa kimya kwenye mkataba maana walishapeleka maoni yao ikulu wanasubiri Kama yatatekelezwa.Na bado mnajifanya ni wasomi na kuwatukana waislamu hawajasoma!
Cha ajabu hata akili ya kuelewa vitu vidogovidogo huna.
Kuna uwekezaji usiokuwa na mkataba?
Ukishaunga mkono uwekezaji maana yake umekubali mikataba ya huo uwekezaji.
Shoo yeye anaunga mkono uwekezajiyoyote yule aje kuwekeza.
Sio kurekebisha vipengele vyenye mapungufu TEC wao hawautaki kabisa mkataba wenyewe yani kwa kifupi hawawataki DP world.
Tatizo nini mbona mikataba mingi ina mapungufu na hawajatoa tamko la kuikataa kwanini iwe DP world pekee au kwa sababu ni warabu(pengine wangekua wazungu wangewakubali) au kwa sababu maslahi yao yameguswa hapo bandarini?
Nafikiri hata TEC, hawana shida na uwekezaji, isipokuwa masharti, au miye ndiyo sikuelewa?!
Ikulu inafanyia kazi maoni ya watu na taasisi mbalimbali kuhusu mkataba.Acheni kulazimisha mambo. Uwekezaji hapingwi Bali vifungu vya mkataba wa uwekezaji. Shoo kaunga mkono Nia njema ya uwekezaji ila amekuwa kimya kwenye mkataba maana walishapeleka maoni yao ikulu wanasubiri Kama yatatekelezwa.
Safi kabisaKanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.
Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
=========
Naomba ieleweke wazi Kanisa linaunga mkono uwekezaji, hatupingi uwekezaji na tunajua wewe kwenye nia yako unataka uwekezaji, hata hivyo jambo hilo limekuwa na maoni mbalimbali ya wananchi na vyombo vya habari, lakini Mheshimiwa Rais tunatambua kwamba sisi viongozi wa dini zote tuliomba kuja kukuona pale mwanzoni na ulitupokea na tulikuletea maoni yetu kama viongozi wakuu wa dini, ukaahidi kuwa maoni yatafanyiwa kazi, tuna imani na wewe
Unateseka ukiwa wapi?Mods hakikisheni kama ni kweli KKKT wamesema wanaunga mkono uwekezaji,licha ya mkataba kuonekana una kasoro katika baadhi ya vipengele.Kama habari iliyoletwa humu,ni upotoshaji,basi mfute uzi.Baadhi ya wadau,hutumia JF kama rejea.
Na bado mtakasirika sana tu hapa ni kazi kazi.Sawa, kwani kazungumzia limkataba lenu la kitumwa?? Kama hujamuelewa Shoo wewe ni Kilaza.