Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ni msimamo wa kanisa au msimamo wake?Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.
Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
Acha kupotoshaKanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.
Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa hilo.
View attachment 2724056
Safi sana,tena amesema viongozi wa dini walienda kukutana na Rais na wakatoa maoni YaoKanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.
Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
Askofu Shoo hawezi kukosa akili kiasi hicho, hata kama naye kapewa mgao wa lile fungu la DubaiNaona hujamuelewa Shoo