Klabu 10 bora Afrika kwa sasa Aprili 2022

Kwanni? Wakati pyramid hajawahi kubeba kombe la Africa

Kama vigezo ni makombe basi Mamelody hakupaswa kuwemo hata top 10. Maana ana kikombe kimoja tu cha afrika, wakati zamalek ana 5, Tp Mazembe ana 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…