ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Nyie ni kama sisi tu ila mmejaliwa kuvimbaMuambie Mh.Jaji mabingwa wa kihistoria wapi nafasi ya ngapi. Hivi mabingwa au mabigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ni kama sisi tu ila mmejaliwa kuvimbaMuambie Mh.Jaji mabingwa wa kihistoria wapi nafasi ya ngapi. Hivi mabingwa au mabigwa
wewe sasa ndo utopolo uliyekamilika nilitaka nishangae utopolo gani wanaojua CAF 5 years ranking system? au chart ya dunia inayotolewa na IFFHS? hapa sasa mimi na wewe tunaweza kuongea nilistuka kidogo mleta mda kujua system halisi..ehee lete story sasa hawa jamaa wanasema simba ya ngapi AFrica? naona azam wako vizuri hapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kigezo kipi sasa?
Hiyo ni ranking ya CAF ambayo kila team hupata point kulingana na Performance yake mwaka husika katika mashindano ya shirikisho na Club Bingwa.
List hiyo inajumuisha team pekee ambazo zimeshiriki Shirikisho na Club bingwa, na point zake hutolewa kwa kutofautiana. Za Club Bingwa zipo kivyake na shirikisho zipo kivyake.
Ukiachana na hiyo list kwa vigezo hivo. List halisi inayobeba club zote kwa mujib wa FIFA upande wa Afrika ndani ya 500 bora tunazo 2 ka sikosei. View attachment 2181963Simba
Tanzania #1,
Africa #106,
World #964... Ikiwa na Point 1351.
Young African
Tanzania #2,
Africa #385,
World #2070... Ikiwa na Point 1252.
Azam FC
Tanzania #3,
Africa #413,
World #2124... Ikiwa na Point 1249.
Full Ranking itizame hapa utaiona hiyo Pyramid ikiwa ya 15 kwa Africa Africa Football / Soccer Clubs Ranking - FootballDatabase
Sawa G20 una kombe gani?We ubongo kamasi kweli!! Usikariri kiuto uto.
Husikiikuna G7, G20 duniani huko.
Simba ana point zaidi ya 23 ndio maana nimeomba mtoa mada atoe na point za SimbaHata wewe unaweza kuanzisha mada hiyo. Kutukana kinaonesha ulivyo mweupe kichwan!! Jibu mada husika huwezi pita hivi hapa sio Facebook.
28 zishaongezeka ndiyo maana ya 12 kwa sasaSimba ana point zaidi ya 23 ndio maana nimeomba mtoa mada atoe na point za Simba
simba ya 12 siyo 13Simba yupo namba 13. Ongeza hiyo list hadi 20 utaiona
Atakujibu hapa ndio umeonesha kujadili !!Simba ana point zaidi ya 23 ndio maana nimeomba mtoa mada atoe na point za Simba
Mwabie Mh.Jaji nyie mpo nafasi ya ngapi na sisi nafasi ya ngapi? Iambie mahakama kwenye michuano ya kimataifa Uto iko wapi na the Giants wako wapiNyie ni kama sisi tu ila mmejaliwa kuvimba
yaani wewe wa kunifundisha 5 year ranking system mimi? embu jichape makofi kadhaa kwanza hapo ulipo....saasa kama unajua kuna data official zinatzotolewa na official bodies kwa nini unatuletea matakataka kwamba simba ya 1352 duniani ikiwa chini ya azam? unajua ranks za dunia hutolea naIFFHShttps://www.iffhs.com inayotambulika na fifa? unajua hiyo website uliyotolea mi data yako wenyewe wanakiri wanatumia algorithm ya robot ku calculate rankings zaoUsipende kutumia matusi hayakusaidii zaidi ya kudhihirisha namna gani ambavyo hujastaarabika.
CAF 5 Years Ranking ni system ambayo hutumiwa na CAF ku-determine idadi ya clubs ambazo zitashiriki kutoka kwa CAF member Association... Ambapo kwa Taasisi inayoingiza Club kwenye top 12 hueza kupeleka Club 2 kwenye masindano hayo both Champions League 2 na Confederation 2 jumla 4.
So unatakiwa uelewe CAF 5 years ranking sio ubora wa Club bali inaweka point ambazo imezikusanya ndani ya miaka 5 ambazo hutumiwa katika kuchukua idadi ya Clubs zitakazoshiriki mashindano hayo.
Kuna taratib ya namna zinavokokotolewa kulingana n hatua club inayofikia ndani ya mashindano. Point za Club bingwa ni kubwa kwa 1 kuliko za shirikisho.
Club Bingwa/Shirikisho
Winner 6/5
Runner Up 5/4
Semi finalist 4/3
Quarter finalist 3/2
3rd in Group stage 2/1
4th in Group stage 1/0.5
Na hizo point huw zinazidishwa kwa value kati ya 1 had 5 ndani ya miaka mi5 prior to tournament.
That's
Point ya hatua iliyofikiwa ndani ya miaka
5 kutoka sasa inazidishwa na 1
4 inazidishwa kwa 2
3 kwa 3
2 kwa 4 na
Last year kwa 5.
Nazan umenelewa Mr.
confirmed teams 4 tayari zambia washafeli, nigeria hana team wamebaki wa libya tu na tuko namba 10 kwa points za TFF ambazo ni 30.5 ,mbili za namungo..0.5 za kamati ya mapokezi...simba akiingia nusu horoya na watunisia wanakaa kushoto anakuwa wa 10Yah sema kikubwa kwa hatua aliyofika azidi kusonga mbele.
2017/18 Hapa hana point
2018/19 Hapa alikusannya 3 ambazo zinazidishwa kwa 2 jumla 6
2019/20 Hapa hana point
2020/21 Hapa alikusanya 3 tena ambazo zitazidishwa kwa 4 jumla 12
2021/22 Kwa mwaka huu keshafika robo fainal upande wa shirikisho ni point 2 ambazo zitazidishwa kwa 5 jumla point 10.
So total point mpaka sasa anazo 28... Akiendelea itapendeza zaidi. Coz akiingia kwenye top 12 msim ujao tunapeleka tena team 4, 2 Club bingwa na 2 Shirikisho.
Ongezea weweSimba yupo namba 13. Ongeza hiyo list hadi 20 utaiona
Mkipigwa tena kichapo cha mbwa kolo kama mlichopewa na mume wenu wa Kaizer mtakuwa wangapi?confirmed teams 4 tayari zambia washafeli, nigeria hana team wamebaki wa libya tu na tuko namba 10 kwa points za TFF ambazo ni 30.5 ,mbili za namungo..0.5 za kamati ya mapokezi...simba akiingia nusu horoya na watunisia wanakaa kushoto anakuwa wa 10
kasoro wale Makirikiri tu!!Unambiwa hao wote hua wanaogopa kucheza na Simba [emoji23][emoji23] duniani kuna vituko
Utawadanganya makolo wenzako wa fb na hapo kijiweni kwako unapovutia bange ila sio hapa JF ambapo GTS wametawala.yaani wewe wa kunifundisha 5 year ranking system mimi? embu jichape makofi kadhaa kwanza hapo ulipo....saasa kama unajua kuna data official zinatzotolewa na official bodies kwa nini unatuletea matakataka kwamba simba ya 1352 duniani ikiwa chini ya azam? unajua ranks za dunia hutolea naIFFHShttps://www.iffhs.com inayotambulika na fifa? unajua hiyo website uliyotolea mi data yako wenyewe wanakiri wanatumia algorithm ya robot ku calculate rankings zao
imeonyesha hapo utopolo wameshuka na azam kapanda kwa mechi za hadi 3 april embu nipe ukweli wa hilo..mimi leo nikianzisha blogspot yangu nikaandika Mo dewji ni tajiri namba moja
katika points za tff zilizosbabisha TFF kushika nafasi ya kumi afrika..simba kachangia 28..namungo 2...utopolo kamati ya mapokezi 0.5 ..pinga kwa factsUtawadanganya makolo wenzako wa fb na hapo kijiweni kwako unapovutia bange ila sio hapa JF ambapo GTS wametawala.
Wakati unawaza hayo ungewaza hizo pints 2 za namungo unazipata lini?Mkipigwa tena kichapo cha mbwa kolo kama mlichopewa na mume wenu wa Kaizer mtakuwa wangapi?
na nikaja kukushangaa kama una uelewa wa CAf 5 year rankings basi ungejua kwamba legitimate body inayotoa rankings za klabu na ligi duniani ni moja tu IFFHS iliyoko uswisi mbona unaoneka una uelewa mkubwa halafu ukaenda kuokota ma data ya vichochoroni? hay basi tufanye data yako ni ya ukweli yaani simba afrika ni ya 106? hapo utopolo wameonyesha kwamba wame drop kwa hadi mechi za terehe 3 april zipi hizo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kukurupuka kijana... Em nioneshe nilipoandika simba ya 1352? Unajua kusoma kweli wewe? Unaelewa maaa ya point? [emoji23][emoji23][emoji23] Em karudie kusoma uelewe acha ujuaji wa kijinga.
Nimeandika hivi narudia.
Simba's Total Points 1351...
Position.
Tanzania 1.
Africa 106.
World 964.
Young A Total Points 1252
Position
Tanzania 2.
Aftica 385.
World 2070...
Azam Total Points 1249
Position
Tanzania 3.
Africa 418.
World 2124...
Sasa ka zimo kweli kwenye hilo fuvu lako utasemaje hiyu azam anayeshika nafasi ya 2124 ni bora kuliko huyo wa 964???
Soma vizuri uelewe uache kukurupuka Mr.
Hata kwenye top 50 utopolo hawapoKuitaja yanga kwenye post kama hii ni dhambi. Taja 20 bora tuone.
ni ya 79 ina 0.5 points baada ya hapo hakuna teams nyingine africa zenye atleast nusu pointHata kwenye top 50 utopolo hawapo