Klabu 10 bora Afrika kwa sasa Aprili 2022

Klabu 10 bora Afrika kwa sasa Aprili 2022

Hawa zamalek tuliwatoa pale Cairo mwaka 2003. Labda ulikuwa hujazaliwa. Tena walikuwa mabingwa watetezi.

Usifananishe Simba na utopolo

Kama uliwatoa, na tena mara moja tu ndio uwashushe kiasi hicho! Zamalek acha kufananisha na Simba na yanga
 
Ahsante kwa taarifa mkuu, hapo namba 5 kwa Mamelody hapana aise, hiyo namba 5 wangemweka Pyramids.
Mamelody wanashiriki clabu bingwa wakati pyramid wapo confederation cup. Hivyo timu zikienda hatua inayouata, point anazokusanya timu ya klabu bingwa ni nyingi kuliko anayeshiriki confederation.
 
Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year caf ranking for 2022/23
Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii
View attachment 2181690
NB klabu ya tano ni Mamelodi inayotokea South Africa kwa akina ORLANDO PIRATES
Sura yako inafanana na bandiko lako
 
Unambiwa hao wote hua wanaogopa kucheza na Simba [emoji23][emoji23] duniani kuna vituko
 
Screenshot 2022-04-09 at 18.20.50.png
Screenshot 2022-04-09 at 18.21.03.png
KUNA TEAM HAPO HADI U SCROLL NAMBA 79 NDO UTAIKUTA
 
Kumbe wakati ule ilikuuma sana [emoji23]. Ni kweli juu ya maelezo yake, ila safari ya simba kufika huko iko karibu zaidi kuliko hao wengine uliowataja.
Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year caf ranking for 2022/23
Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii
View attachment 2181690
NB klabu ya tano ni Mamelodi inayotokea South Africa kwa akina ORLANDO PIRATES
 
Kumbe wakati ule ilikuuma sana [emoji23]. Ni kweli juu ya maelezo yake, ila safari ya simba kufika huko iko karibu zaidi kuliko hao wengine uliowataja.
Hawa jamaa sijui hawaoni aibu ku discuss mambo ya CAf tournaments? wangeacha tu kwa kweli..simba akiingia nusu fainali anakuwa wa 10...baada ya hapo utaona mijamaa inaleta list ya top 5
 
Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year caf ranking for 2022/23
Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii
View attachment 2181690
NB klabu ya tano ni Mamelodi inayotokea South Africa kwa akina ORLANDO PIRATES
Maneno ya mke mwenza hayo. Chuki chuki chuki tuuuu!!!! Sasa hiyo aya ya pili ina maana gani?!! Wewe umeleta hoja halafu inaingiza viroja!!!!
Shallow minded discuss people[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom