Klabu 10 bora Afrika kwa sasa Aprili 2022

Klabu 10 bora Afrika kwa sasa Aprili 2022

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kukurupuka kijana... Em nioneshe nilipoandika simba ya 1352? Unajua kusoma kweli wewe? Unaelewa maaa ya point? [emoji23][emoji23][emoji23] Em karudie kusoma uelewe acha ujuaji wa kijinga.

Nimeandika hivi narudia.

Simba's Total Points 1351...
Position.
Tanzania 1.
Africa 106.
World 964.

Young A Total Points 1252
Position
Tanzania 2.
Aftica 385.
World 2070...

Azam Total Points 1249
Position
Tanzania 3.
Africa 418.
World 2124...

Sasa ka zimo kweli kwenye hilo fuvu lako utasemaje hiyu azam anayeshika nafasi ya 2124 ni bora kuliko huyo wa 964???

Soma vizuri uelewe uache kukurupuka Mr.
hao jama azako wa football database wanatumia ELO RATING SYSTEM algorthm inayotumika kwenye ma games nafikiri utajua ni kwanini sisi wengine tunawaona kituko
Screenshot 2022-04-09 at 22.19.20.png
hao jamaa zako hawajui hata bIDVEST ya south africa ilishavunjwa ikapotea kwenye ramani ya soccer bado wameiweka kwenye chat kabisaaa tena wanadai baada ya mechi za 3 april imeshuka kwa points 3😀😛🙂 marehemu bidvest kafa 2016 ila huku football database anashika nafasi ya 26

Screenshot 2022-04-09 at 22.13.46.png

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi unataka tuzungumze kishabiki au unataka kujifunza?

Unajua maana ya 5year ranking system? Unalijua vyema dhumun la huo mfumo? Mmh? Unajua kwanini huwa ina list ya team 80 tu? Ilhal Afrika kuna villabu zaidi ya 1000? Unaeza kunieleza kwanini Point huw zinapungua na kuongezeka?

Kama kweli unaelewa, basi utafaham kua ile list ni kama msimamo wa league ndani ya msim husika.

Leo hii hata Mbeya kwanza akimaliza nafas ya kwanza kwenye league kisha akapata nafasi ya kushiriki na akafanikiwa kufika final kwa msimu huo atakuw na point 25 ama 30 kama akifanikiwa kulichukua kombe...

Kwa idadi hiyo ya point atafanikiwa kuingia kwenye 10 bora utaeza sema Mbeya kwanza ni bora kuliko Simba na Yanga ambao hawajashiriki?

World Cup huwa ina team 32 na hadi sasa kuna mataifa 79 tu yaliyowah shiriki hayo mashindano. Inakuwaje list ya ubora wa team za kitaifa zipo na nchi zaidi ya 200 ilhali zingine hazijawah shiriki kabisa kwenye mashindano ya hilo kombe? Unaitoaje azam na Club zingine ndani ya list ya Club za Africa...?

Fatilia vitu uvielewe mahaba ya Club yako yakichanganyikana na uhalisia utapoteana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

Uelewe lengo haswa la 5 year ranking System ni nini.
Nikuulize wewe na hiyo footbal database yako kwa nini team iliyokufa 2016 ya BIDVEST WITTS bado inashika nafasi ya 26 na inaonyesha kwamba hadi mechi za last week ilishuka kwa points 3...hao source wako wanakiri wanatumia ELO RANKING ALGORTHM ya kwenye magames , tumi akili kidogo basi bwasheee
Sasa kumbe unajua system ya CAF iko fair kabisa ndiyo maana amazulu leo yuko top 30 na ni mara yake ya kwanza kushiriki nataka tu jibu la hii team iliyokufa 2016 ila bado kwenye chanzo chako cha team bora iko number 26
Screenshot 2022-04-09 at 22.19.20.png
Screenshot 2022-04-09 at 22.13.46.png
 
Jifunze kuelewa kijana... Kama hujui hizo point zinapatikanaje utaelewa kweli kilichoandikwa? Em achana na hiyo list.

Hii chini ni list ya FIFA. Na hizo pembezoni ni point. View attachment 2182050 Unajua zinavyotafutwa? Unaeza kueleza kwanini MEXICO ana point nyingi kuliko GERMANY?

Kajifunze kuelewa kwanza kisha ndio uanze kujifunza vitu.
naomba nieleweshe ni kwanini bidvest iliyovunjwa mwaka 2016 iko nafasi ya 26 na inaonyesha last week ili drop kwa points 3? wewe ndo ujifunze hutaki kuelewa kabisa unashupaza shingo umeenda tena kwenye li website lako kuleta ma data ya kina mexico nakuambia wanatumia AI artificial inteligence inaitwa ELO ALGORTHM siyo human work kwamba kuna watu wanafatilia kinachoendela kama IFFHS ndiyo maana hata team iliyokufa 6 years ago wao wana i rank tu kabla hujajibu ujeuri wako nipe jibu la kwanini team marehemu inashika nafasi ya 26 kwa mwendo huu kuna siku tutaiona moro utd huku
 
Hutau kuelewa kwasabab wajiona wajua kila kitu. Kibaya zaidi hujui na hutaki kujifunza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikusaidieje sasa?

Hivi atleast unaweza kutofautisha kati ya mfungaji bora wa msim huu na mfungaji bora wa mda wote?...

Unashangaa Bidvest kuwepo kwenyw list... Hizo ni total points walizokusanya toka Club imeanzishwa.

Leo hii ukifunga Goal 500 kwenye maisha yako ya soka, hata ukifa leo kama idadi ya magoli yanakutosha kukaa kwenye top ten za wafungaji wa mda wote utaendelea kuwepo hadi pale idadi uliyonayo wengine wakiifikia na kuipita.

Em jifunze kuelewa basi jomba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekutolea mfano huko kwa MEXICO na GERMANY walau uelewe kidogo tu.. Hiyo list iko apa Men's Ranking.

Leo hii Brazil hata asiposhiriki kombe la dunia, TZ kuipiku nafasi anayoshikilia ni mpaka tufikishe idadi ya point kuliko hizo alizonazo.

Usipoelewa na hapo naachana na wewe [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
kama ni hivyo basi berkane angekuwepo kwenye top 50 unajua chanzo chako unachokitetea berkane hayupo in 2 years kachukua kombe la afrika na kucheza fainali na ligi ya kwao anafanya vizuri wapi power dyanamos ya zambia
 
naona Utopwolo wanabishana na takwimu
kuna takwimu hapa simba ya 106 ila michezo ya CAf tunaanzia round ya kwanza badala ya awali sijui tumehonga kule cairo? kuna team marehemu tangu 2016 Bidvest wits ya south africa iko namba 26 na inasemekana last wek ili drop points tatu na berkane mabingwa wa mwaka juzi na finalist wa mwaka jana hawapo hata top 50
 
Hujajibu swali langu... Unajua hizo point zinavyotafutwa? Hiyo list ya Mexico na Germany iko FIFA Men's Ranking So FIFA ni ndezi we ndio unajua kuliko wai sio??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eeenhe kweli wewe Chizi Vitabu.
Ulishasema nimeshinda umerudi tena . berkane iko wapi kama kweli chanzo chako kina akili timamu hawastahili kuwa top 50? hadi team marehemu kampita unasema points walizokusanaya tangu ianzishwe unajua mafanikio ya bidvest ni kufika makundi tu mwaka walioitoa azam fc ..ni mafanikio gani na points gani za kihistoria uanzosemea wewe kinabo?
 
Nakuuliza tena... Unajua namna ya hizo point zinavyotafutwa??? Kwenye hii list waliyoitoa FIFA Men's Ranking unaeza nieleza kwanini BRAZIL ya kwanza France w 3 ilhal France kachukua kombe 2018 ikiwa Brazil mara yake ya mwisho ilikuwa 2002?
hilo jibu ninalo sana nataka kabla sijakukujibu ujibu swali langu bidvest anafanya nini kwenye list unasema ni mafanikio ya kihistoria , ana mafanikio gani kwenye ligi ya south africa na CAf ambapo mara ya mwisho aliishia makundi baada ya kumtoa azam? na team ilivunjwa 2016 ila iko juu ya berkane nakuambia li website lako na la kichaa mmmoja mla unga anatumia ELO algorthm ku calculate na ligi ya south africa kaiweka kwamba ni strong basi majibu ndo hayo wkati huko FIFA na IFFHS kuna watu kabisa wanafatilia siyo ma robot elimika basi na wewe
 
hao jama azako wa football database wanatumia ELO RATING SYSTEM algorthm inayotumika kwenye ma games nafikiri utajua ni kwanini sisi wengine tunawaona kituko
View attachment 2182031 hao jamaa zako hawajui hata bIDVEST ya south africa ilishavunjwa ikapotea kwenye ramani ya soccer bado wameiweka kwenye chat kabisaaa tena wanadai baada ya mechi za 3 april imeshuka kwa points 3[emoji3]😛🙂 marehemu bidvest kafa 2016 ila huku football database anashika nafasi ya 26

View attachment 2182037

Hahaha umemuua kabisa UTO UTELEMBWE.
 
Hivi Kolo mpaka wajisifu ni bora wameshachukua kombe gani
 
Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year caf ranking for 2022/23
Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii
View attachment 2181690
NB klabu ya tano ni Mamelodi inayotokea South Africa kwa akina ORLANDO PIRATES
[emoji1787][emoji28][emoji23][emoji38] ama kweli na sio Orlando pirates
 
Back
Top Bottom