Bora alikimbilia maana anajijuwa. Hata mwanafunzi bora darasani anapokwenda kuangalia matokeo matumaini yake ni kujiona katika namba za juu.Najua sana ulipoona kichwa cha habari ukakimbilia ukijua KOLO litakuwemo ulipolikosa ndipo ukaamua kumalizia hasira zako kwangu
Yaani wewe umejikatia tamaa kujishughulisha kuangalia kwa kuwa unajijuwa hali yako UTO.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]