DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,533
- 2,709
Kivumbi kinatarajia kutimka leo saa 10 jioni kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa wakati wawakilishi wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) almaarufu kama wakimataifa / timu ya wananchi / mabingwa wa kihistoria watakapokuwa wanapambana na timu ya Zesco kutoka Zambia
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika uwanja wa taifa, Dar es Salaam timu hizo zilitoka sare kwa kufungana goli 1 - 1
Yanga leo imedhamiria kupindua meza kibabe kwa kuitoa Zesco kwao, Zesco ambayo inajivunia rekodi yake ya kutofungwa kwenye uwanja wao wa nyumbani
Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania
Kikosi cha Yanga
1. Metacha Mnata
2. Ally Ally
3. Ally Mtoni
4. Lamine Moro
5. Kelvin Yondani
6. AbdulAziz Makame
7. Deus Kaseke
8. Feisal Salum
9. Sadney Khoetage
10. Papy Tshishimbi
11. Patrick Sibomana
Benchi: Shikalo, Abdul Muharami, Ngasa, Kalengo, Balinya, Jafary
UPDATES
Mpira umeanza hapa
"5: Zesco 0 - 0 Yanga
"15: Zesco 0 - 0 Yanga
Goal
"22: Jesse Were anaifungia Zesco goli la kwanza
"25: Zesco 1 - 0 Yanga
Goal
"30: Sadney anawanyanyua hapa wananchi kwa kutupia mpira nyavuni
35": Zesco 1 (Were) - 1 Yanga (Sadney)
"45: Zesco 1- 1 Yanga
Half Time: Mpira ni mapumziko hapa kwa kila timu kufunga goli 1 -1, kumbuka mechi ya kwanza iliisha kwa kila timu kufunga goli 1 - 1
Second Half
"46: Zesco 1 (Were) - 1 Yanga (Sadney)
"55: Zesco 1 (Were) - 1 Yanga (Sadney)
"65: Zesco 1 (Were) - 1 Yanga (Sadney)
Goal
"80: Makame anajifunga hapa na kufanya Zesco kuwa mbele kwa magoli 2 -1
Red Card: Beki wa Yanga Lamine Moro anaonyeshwa kadi nyekundu
"90: Zesco 2 - 1 Yanga
Full Time: Zesco 2 - 1 Yanga..... Zesco wamefanikiwa kuingia hatua ya makundi wakati Yanga wataingia kwenye michuano ya shirikisho kugombea nafasi ya kuingia kwenye makundi ya shirikisho