Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen to thisZesco 2 yanga 0
Pacha leo naomba ubaki hadi mwisho wa mechi,usikimbie tafadhaliKila la kheri timu ya Wananchi.
"Daima mbele nyuma mwiko"
Huku ndola wananchi tuko wengi uwanjani kuwazidi wenyeji wetuYaani wao ndio wanakihoro na game yetu kuliko hata sisi wenyewe.
Ama kweli Yanga ni ya wote. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh!hata wewe kumbe mkia!Kila la heri zesco
Nakushauri tu uandae Panadol mapema. Kwa sababu maumivu utakayopata jioni hayatakuwa ya kawaida.Yaani wao ndio wanakihoro na game yetu kuliko hata sisi wenyewe.
Ama kweli Yanga ni ya wote. 🤣🤣🤣
Ally mtoni atajifunga na hilo goli litadumu mpaka dakika ya 80 ambapo wazambia watapata penalti na kuwalaza yanga 2-0Kivumbi kinatarajia kutimka leo saa 10 jioni kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa wakati wawakilishi wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) almaarufu kama wakimataifa / timu ya wananchi / mabingwa wa kihistoria watakapokuwa wanapambana na timu ya Zesco kutoka Zambia
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika uwanja wa taifa, Dar es Salaam timu hizo zilitoka sare kwa kufungana goli 1 - 1
Yanga leo imedhamiria kupindua meza kibabe kwa kuitoa Zesco kwao, Zesco ambayo inajivunia rekodi yake ya kutofungwa kwenye uwanja wao wa nyumbani
Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania
Kikosi cha Yanga
1. Metacha Mnata
2. Ally Ally
3. Ally Mtoni
4. Lamine Moro
5. Kelvin Yondani
6. AbdulAziz Makame
7. Deus Kaseke
8. Feisal Salum
9. Sadney Khoetage
10. Papy Tshishimbi
11. Patrick Sibomana
Benchi: Shikalo, Abdul Muharami, Ngasa, Kalengo, Balinya, Jafary
25% kubwa mno, ni sawa na BIASHARA FC imfunge ESPERANCE YA TUNISIATuzunguzie soka, tuweke ushabiki kandi. Nafasi ya Yanga kusonga mbele kwa kushinda leo ni 25%, yaani wanategemea bahati tu.
Vv
Tulia mkuu ushuhudie mnavyokichezea leoDuh!hata wewe kumbe mkia!
baada ya mbumbumbu fc kutupwa matopeni kwao, leo ni zamu ya wachawi wenzao vyura fc kufurushwa warudi bwawani kwao!Kivumbi kinatarajia kutimka leo saa 10 jioni kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa wakati wawakilishi wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) almaarufu kama wakimataifa / timu ya wananchi / mabingwa wa kihistoria watakapokuwa wanapambana na timu ya Zesco kutoka Zambia
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika uwanja wa taifa, Dar es Salaam timu hizo zilitoka sare kwa kufungana goli 1 - 1
Yanga leo imedhamiria kupindua meza kibabe kwa kuitoa Zesco kwao, Zesco ambayo inajivunia rekodi yake ya kutofungwa kwenye uwanja wao wa nyumbani
Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania
Kikosi cha Yanga
1. Metacha Mnata
2. Ally Ally
3. Ally Mtoni
4. Lamine Moro
5. Kelvin Yondani
6. AbdulAziz Makame
7. Deus Kaseke
8. Feisal Salum
9. Sadney Khoetage
10. Papy Tshishimbi
11. Patrick Sibomana
Benchi: Shikalo, Abdul Muharami, Ngasa, Kalengo, Balinya, Jafary