Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Kivumbi kinatarajia kutimka leo saa 10 jioni kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa wakati wawakilishi wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) almaarufu kama wakimataifa / timu ya wananchi / mabingwa wa kihistoria watakapokuwa wanapambana na timu ya Zesco kutoka Zambia

Katika mechi ya kwanza iliyofanyika uwanja wa taifa, Dar es Salaam timu hizo zilitoka sare kwa kufungana goli 1 - 1

Yanga leo imedhamiria kupindua meza kibabe kwa kuitoa Zesco kwao, Zesco ambayo inajivunia rekodi yake ya kutofungwa kwenye uwanja wao wa nyumbani

Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania

Kikosi cha Yanga

1. Metacha Mnata
2. Ally Ally
3. Ally Mtoni
4. Lamine Moro
5. Kelvin Yondani
6. AbdulAziz Makame
7. Deus Kaseke
8. Feisal Salum
9. Sadney Khoetage
10. Papy Tshishimbi
11. Patrick Sibomana

Benchi: Shikalo, Abdul Muharami, Ngasa, Kalengo, Balinya, Jafary
Ally mtoni atajifunga na hilo goli litadumu mpaka dakika ya 80 ambapo wazambia watapata penalti na kuwalaza yanga 2-0
 
Tuzunguzie soka, tuweke ushabiki kandi. Nafasi ya Yanga kusonga mbele kwa kushinda leo ni 25%, yaani wanategemea bahati tu.

Vv
 
Kivumbi kinatarajia kutimka leo saa 10 jioni kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa wakati wawakilishi wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) almaarufu kama wakimataifa / timu ya wananchi / mabingwa wa kihistoria watakapokuwa wanapambana na timu ya Zesco kutoka Zambia

Katika mechi ya kwanza iliyofanyika uwanja wa taifa, Dar es Salaam timu hizo zilitoka sare kwa kufungana goli 1 - 1

Yanga leo imedhamiria kupindua meza kibabe kwa kuitoa Zesco kwao, Zesco ambayo inajivunia rekodi yake ya kutofungwa kwenye uwanja wao wa nyumbani

Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania

Kikosi cha Yanga

1. Metacha Mnata
2. Ally Ally
3. Ally Mtoni
4. Lamine Moro
5. Kelvin Yondani
6. AbdulAziz Makame
7. Deus Kaseke
8. Feisal Salum
9. Sadney Khoetage
10. Papy Tshishimbi
11. Patrick Sibomana

Benchi: Shikalo, Abdul Muharami, Ngasa, Kalengo, Balinya, Jafary
baada ya mbumbumbu fc kutupwa matopeni kwao, leo ni zamu ya wachawi wenzao vyura fc kufurushwa warudi bwawani kwao!
 
Alafu Deus Kaseke unamuanzishaje wakati hajacheza muda mrefu unatafuta nini wewe Zahera.
.
Kisa huwa ana katabia kakukaba na kushambulia unadhani ni Ndanda hiyo unayocheza nayo
 
Back
Top Bottom