Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Philosophy ya leo ya Zesco ni tofauti wachezaji watatu walioanza mechi iliyopita wako bench.
.
Kuna mwamba nauchora Anthony Yakub nategemea maajabu, viungo watatu washambuliaji watatu.
Lengo la kwanza ni kushambulia Yanga leo wana kazi mbili kubwa kuzuia magoli na kuzuia wasipate red card hawana kazi ingine iliyo wapeleka
 
Thaban kama KDB vile hahaha nacheka kwa dharauuu
 
Go go go go go go go gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooal zesco 1 yanga 0 mfungaji ni were
 
Jese jackson were anawagalagaza vyura hapa uwanja wa mwana wasa
 
Back
Top Bottom