Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaYanga apewe jukumu la kucheza away games
Ngapi huko?1-1 mpaka dakika hii
Na Badooo.Hii ndio Yanga bwana.
Hivyo yaaaniiiNaona wakimataifa wanathibitisha kauli yao kuwa wameenda kupindua meza kibabe
Huna hojaSikuweka ahadi yoyote kwanza mpaka sasa utabiri wako umeshakufa ni 1-1 wako ulikuwa 2-0
Subiri kipindi cha pili mapema tuu goli la 2 ndani ya nyavu za Zesco.vyura wakipata la pili tumekwisha
hii inaitwa ramli chonganishiAlly mtoni atajifunga na hilo goli litadumu mpaka dakika ya 80 ambapo wazambia watapata penalti na kuwalaza yanga 2-0