Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Dah! Aliyemsainisha Ali Ali Yanga, Mungu anamuona! Sijui alisajiliwa kwa sababu ya lile goli lake alilotuzawadia alipokuwa KMC? Binafsi namuona ni average player kuchezea timu kama Yanga.
 
Back
Top Bottom