Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Huyu ali ali toka kipindi cha kwanza anazingua marking lakini mwalimu na benchi hawastuki hata
 
#CAFCL DK 80' Zesco wanapata bao la pili baada ya Abdulaziz Makame kujifunga kwa kuunganisha krosi. Zesco United 2-1 Yanga Were 24' Sadney 30' Makame 78' (OG)
 
Aliyemsajili Ali Ali hana akili. Ndiye uchochoro wa timu. Mchezaji mwenye sifa ya kuchezea Stand United, analetwa kucheza timu kama Yanga?

Kocha nae ni komeo tu! Timu iko nyuma mpaka dk ya 80, hutaki kufanya mabadiliko.
Mtasema yote hata Makame...
 
Back
Top Bottom