Watoke tu. Na wakienda huko federshen watacheza gem zao mbili hom end awei watolewe na warudi hapa tupambane. Tuangalie mipango ya mwakani. Si wanajiona wao wanaweza mpira. Nyambaaf
jaji mfawidhi said:
Ally mtoni atajifunga na hilo goli litadumu mpaka dakika ya 80 ambapo wazambia watapata penalti na kuwalaza yanga 2-0
bado hii ni ramli?
ha ha ha ha , nirushie vocha
Mpira umekwishaaaa!
Yanga ombaomba ya mzee akilimali wanatoka kichwa chini
MAKAME kazi tuliyokutuma umeitimiza, tulitaka ujifunge na umefanya hivyo,
Nipo Ndola Pub, tunakunywa mvinyo yetu hapa kwa mangi wa zambia, anaitwa Massawe