Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Yanga tunawasubiri "Play-of " moja ndio muweze kuingia kwenye makundi kombe la shirikisho.

Poleni sana na hapa nyumbani mnashika mkia.
 
Watoke tu. Na wakienda huko federshen watacheza gem zao mbili hom end awei watolewe na warudi hapa tupambane. Tuangalie mipango ya mwakani. Si wanajiona wao wanaweza mpira. Nyambaaf
 
Mpira umekwishaaaa!
Yanga ombaomba ya mzee akilimali wanatoka kichwa chini

MAKAME kazi tuliyokutuma umeitimiza, tulitaka ujifunge na umefanya hivyo,
Nipo Ndola Pub, tunakunywa mvinyo yetu hapa kwa mangi wa zambia, anaitwa Massawe
 
Narudi nyumbani ooooh narudi nyumbani Gairo narudi kwetu Tandahimba
 
Back
Top Bottom