Mmekosea badala ya kupindua meza mkapindua makalio. Ona sasa mmeunganishwa na gridi ya umeme bila shurutiNilirudi sijakukuta Pacha.
Naona mmetuchawia weeee mpaka tukashindwa kupindua meza. ππππ
Mmekosea badala ya kupindua meza mkapindua makalio. Ona sasa mmeunganishwa na gridi ya umeme bila shurutiNilirudi sijakukuta Pacha.
Naona mmetuchawia weeee mpaka tukashindwa kupindua meza. ππππ
N a k a z i a. "Ni ujuha"A hana nao hao, mwanafunzi aliye feli mtihani wa darasa la saba kumcheka aliye feli kidato cha nne ni ujuha mtupu.
Haya bana Pacha mi naganga ya Shirikisho we endelea kuganga ya TPL.Niliona nitoe msaada wa kiroho kwa wanavyura waliojeruhiwa huku mtaani
Mmekosea badala ya kupindua meza mkapindua makalio. Ona sasa mmeunganishwa na gridi ya umeme bila shuruti
Mmekosea badala ya kupindua meza mkapindua makalio. Ona sasa mmeunganishwa na gridi ya umeme bila shuruti
Mmmh. πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈMmekosea badala ya kupindua meza mkapindua makalio. Ona sasa mmeunganishwa na gridi ya umeme bila shuruti
Yamekua hayo tena!!!πππNilirudi sijakukuta Pacha.
Naona mmetuchawia weeee mpaka tukashindwa kupindua meza. ππππ
Ndioo Ses mmejua kutuchawia mbaya.πYamekua hayo tena!!!πππ
Ninakitambaa special cha rangi nyeupe(maana nyekundu utaogopa) kwa kukufuta machozi mamii, pole sanaππππππMmmh. πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Kuna mwimbo mmoja mistari yake inaimbwa hivi;Ndioo Ses mmejua kutuchawia mbaya.π
PepetaToooba.
Sijawahi kulia kwa maumivu ya mpira bana Ses. ππNinakitambaa special cha rangi nyeupe(maana nyekundu utaogopa) kwa kukufuta machozi mamii, pole sanaππππππ
Aisee samahani sana Mtani, sasa nataka kujua hivi atasafirishwa lini?Ili nipange ratiba zangu vizuri nisikose kuhudhuria.Nini lakini Mtani.
Ujue unanikumbusha machungu. πππ
Mtani ngoja nikamuulize Manara. πΆββοΈπΆββοΈAisee samahani sana Mtani, sasa nataka kujua hivi atasafirishwa lini?Ili nipange ratiba zangu vizuri nisikose kuhudhuria.
Hahahaaa, haya bana. Kwanza niambie mamii kule kwa jana ndio kufa kwa aina gani maana kama kufa kiume ni kama alivototolewa Simba, hatukupoteza mechi tulitolewa na sheria kandamizi za CAFSijawahi kulia kwa maumivu ya mpira bana Ses. ππ
Haya nletee nakisubiria.
Nini lakini Mtani.
Ujue unanikumbusha machungu. [emoji41][emoji41][emoji41]