Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Nilirudi sijakukuta Pacha.

Naona mmetuchawia weeee mpaka tukashindwa kupindua meza. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
Mmekosea badala ya kupindua meza mkapindua makalio. Ona sasa mmeunganishwa na gridi ya umeme bila shuruti
 
Mmmh. πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Ninakitambaa special cha rangi nyeupe(maana nyekundu utaogopa) kwa kukufuta machozi mamii, pole sanaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Ndioo Ses mmejua kutuchawia mbaya.😎
Kuna mwimbo mmoja mistari yake inaimbwa hivi;

Jipeleleze
Ujiulize
USitafute mbaya ujue ni wewe mwenyewe

Sasa nyie timu hamna, kocha hamna halafu Simba hapo aroge nini tena Shadeeya?? Anayekufa kwa maji usimpe sumu, mpe maji glasi ya kwanza, ya pili ya tatu chaliii🀣🀣🀣🀣
 
Sijawahi kulia kwa maumivu ya mpira bana Ses. πŸ™ˆπŸ™ˆ

Haya nletee nakisubiria.
Hahahaaa, haya bana. Kwanza niambie mamii kule kwa jana ndio kufa kwa aina gani maana kama kufa kiume ni kama alivototolewa Simba, hatukupoteza mechi tulitolewa na sheria kandamizi za CAF
 
kitu kinachofurahisha sasa hivi ni Yanga kufuatiliwa kwa karibu na Watanzania kupita Simba, yale maneno ya simba sijui iga ufe, next level na ule wimbo wao wa kuhamasisha vyote vimekufa, mbwembwe zote za usajili wa mabilioni zimekufa, leo simba anacheza hakuna mtu anaejali, hata akishinda hakuna anaejali, kweli kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
 
Back
Top Bottom