OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hawa eti ndio anawatoa sasa hivi 😝😝😝 nilisemaaaAlly Ally na Feisal wanachoma leo mapemaaaa
Nneona Shekheee jiran apinduliwa pichu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yakhheee, umeona nchechetoooo wa makameeeee. Antufunga goli
Kwahio??!!!![emoji851]Yanga inaingia moja kwa
moja hatua ya makundi kombe la shirikisho!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Demu kaona anachelewesha kukojozwa kaamua kujipiga vidole
Kwahio??!!!![emoji851]
Simba yupo wapi sasaKlabu Bingwa mi ya Simba tu, wengine wanatuaibisha tu
Nilisemaaaaaaaa kudadadekiPhilosophy ya leo ya Zesco ni tofauti wachezaji watatu walioanza mechi iliyopita wako bench.
.
Kuna mwamba nauchora Anthony Yakub nategemea maajabu, viungo watatu washambuliaji watatu.
Lengo la kwanza ni kushambulia Yanga leo wana kazi mbili kubwa kuzuia magoli na kuzuia wasipate red card hawana kazi ingine iliyo wapeleka