Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Vyura wametuumizia golikipa wetu wajameni tusikubali tulipe kisasi
 
Ngumi zimeanza,Moro amelimwa red card pumbavu. Fala kabisa huyu angelimwa dakika ya 70 tupige 5
 
Philosophy ya leo ya Zesco ni tofauti wachezaji watatu walioanza mechi iliyopita wako bench.
.
Kuna mwamba nauchora Anthony Yakub nategemea maajabu, viungo watatu washambuliaji watatu.
Lengo la kwanza ni kushambulia Yanga leo wana kazi mbili kubwa kuzuia magoli na kuzuia wasipate red card hawana kazi ingine iliyo wapeleka
Nilisemaaaaaaaa kudadadeki
 
Back
Top Bottom