Mkuu kwani utopolo anacheza leo?
Mmeanza..!?Gooooal hahahaha kumamake hii ndio simba
Mugaluuuuuuu
Tulia we kidimbwi😂😂Mmeanza..!?
Mzee wa Canal +..naona jamaa hawaachi kitu hadi african champions league wanarusha
Ukiwa na time travel machine raha sana, hili goal nilianza kuliona mbali sanaEeeeh mola simama nami
HahahahahahahahahEeeeh mola simama nami
Mechi mbaya kisenge.