Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Mkuu ktk huu uzi Yanga wanaandika wanafuta wanaandika wanafuta tena[emoji851]
Safi sana Simba

Raha ya ushabiki ni vile kuona timu yako ikifanya kile ambacho wenzetu wanataman pia.

Nilikaa na Shabiki wa Yanga hakika alinipongeza akataka kunipga offa ya bia nikamwambia mkuu nna dozi.

Akasema mnyonge mnyongeni lakini Hakhi yake mpeni

Hakika nikawaona baadhi ya mashabiki kama hawamwelewi vile na roho zao zimejikunja kama dawa ya Mbu[emoji851]

Simba Nguvu1 [emoji881]
Wanapita kimya kimya wanaaga maiti [emoji851]
 
Back
Top Bottom