Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Viungo kama hawa kina Taddeo wapo njiani kuanza kupotea duniani. Maliasiali ianze kuwalinda. Au nasema uwongo ndugu zangu ShadeeyaAisehhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viungo kama hawa kina Taddeo wapo njiani kuanza kupotea duniani. Maliasiali ianze kuwalinda. Au nasema uwongo ndugu zangu ShadeeyaAisehhhh
Angalia mechi ya Utopolo na Mbeya City baadae utapata hiyo quality.Team zote mbili zimecheza katika viwango vya chini mipira mingi pass hazikuwa zinafika wachezaji walikuwa wanapoteza sana mipira hata mchezaji bora kama Chama alikuwa anapoteza sana na slow.
12 February 2021
Kinshasa, DR Congo
Kocha Didier Gomes wa Simba SC na mchezaji wake Chris Mugalu wakizungumzia maandalizi ya mchezo dhidi ya AS Vita Club, ijumaa 12 February 2021
Coach Didier Gomes awahakikishia wapenzi na mashabiki kuwa timu ipo tayari kimwili na kifikra huku wachezaji wa Simba SC wameelekeza kukusanya point hapa Kinshasa.
Didier Gomes pia anabainisha wanatambua Club AS Vita ni timu nzuri lakini Simba imejitayarisha kufanya vizuri. Simba itamkosa nahodha John Bocco huku mchezaji mpya Perfect Chikwende mzimbabwe hataweza kuichezea Simba SC kufuatana na taratibu za Champion league za CAF kuhusu mchezaji aliyesajiliwa hivi karibuni.
Source : Simba SC Tanzania
Chama amepiga pass ngapi na amepoteza ngapi?Team zote mbili zimecheza katika viwango vya chini mipira mingi pass hazikuwa zinafika wachezaji walikuwa wanapoteza sana mipira hata mchezaji bora kama Chama alikuwa anapoteza sana na slow.
Kwa kweli tumetia aibu 😁😁😁😁😁😁Leo simba anaenda kutia aibu bendera yetu na wimbo wa taifa, naiomba serikali iwazuie simba kutumia nembo za nchi wakiwa mechi za ugenini
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Kwa kweli tumepigwa 5 na tumeiaibisha nchi 😁😁😁😁😁😁Mtu anapigwa goli 5 alafu kwenye jezi ameandika visit Tanzania hakika hawa jamaa wamedhamilia kuiabisha nchi kimataifa
SijasikiaNasikia rahaa mie
Hatar sanaViungo kama hawa kina taddeo wapi njiani kupotea duniani. Maliasiali ianze kuwalina. Au nadema uwongo ndugu zangu Shadeeya
Kweli kabisa mkuu yaan utafikir ndondo cup,Team zote mbili zimecheza katika viwango vya chini mipira mingi pass hazikuwa zinafika wachezaji walikuwa wanapoteza sana mipira hata mchezaji bora kama Chama alikuwa anapoteza sana na slow.
PoleSijasikia
Tatizo ukiongea ukweli watu wanadhani labda wewe huipendi team wanaanza matusi. Hapa tumeongelea hali halisi ya game standard ya mpira ilikuwa haikidhi mashindano sasa sijui labda kukosa mashabiki imechangia.Kweli kabisa mkuu yaan utafikir ndondo cup,
Ahsante mwana SimbaPole
Quality ya mpira jana ilikuwa ndogo sanaTeam zote mbili zimecheza katika viwango vya chini mipira mingi pass hazikuwa zinafika wachezaji walikuwa wanapoteza sana mipira hata mchezaji bora kama Chama alikuwa anapoteza sana na slow.
Utopolo mmeaka. Usishangae leo utopolo wakafungwa kutokana na stress za janaTatizo ukiongea ukweli watu wanadhani labda wewe huipendi team wanaanza matusi. Hapa tumeongelea hali halisi ya game standard ya mpira ilikuwa haikidhi mashindano sasa sijui labda kukosa mashabiki imechangia.
Asante sana, Umefanya hivyo kwa uchungu mkubwa matokeo yamekuwa kinyume na matarajio....!Uzi nimeshahitimisha, jukumu langu lilikuwa kuleta matukio ya moja kwa moja na nimefanya hivyo
Asante
maumivu yamepungua?Ushindi mwembamba sana kama wa kupewa tu hata kocha hana furaha yoyote