Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Dakika tisa zimesalia kumaliza game, tuwe na imani game ya kwetu .. Onyango anawachukua maboya wake kama hataki vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyoooooooooooo.Dakika tisa zimesalia kumaliza game,tuwe na imani game ya kwetu ..onyango anawachukua maboya wake kama hataki vile
😂😂😂 niko makini mkuu.Hahhaa hapo itabidi upambane na hali yako... Angalia usije kukata moto kwenye kibanda umiza cha watu ukaleta mtafaruku
Goooooooooooooooooo.
Chama mwamba wa Lusaka anaongeza la pili hapa.
Mi naamini game imeisha hiyo tayari..... Mwarabu alikuja kutafuta sare au kufungwa goli chache na limeshatokea hilo so fungua soda/bia yako uinjoi maishaDakika tisa zimesalia kumaliza game,tuwe na imani game ya kwetu ..onyango anawachukua maboya wake kama hataki vile
Dakika ya ngapi mkuu?Mi naamini game imeisha hiyo tayari..... Mwarabu alikuja kutafuta sare au kufungwa goli chache na limeshatokea hilo so fungua soda/bia yako uinjoi maisha
Akikosea hapa tutamkataa... beki hatakiwi kufanya mbwembweDakika tisa zimesalia kumaliza game,tuwe na imani game ya kwetu ..onyango anawachukua maboya wake kama hataki vile
Akikosea hapa tutamkataa... beki hatakiwi kufanya mbwembwe
Anaingiza viungo wakabaji wagumu kumalizia mtanange wasije wakasawazisha hawa Mafirauni wa Misri.Miksoni nje anaingia kahata
"Aamin"MUNGU TUSAIDIE
unamtoa konde.... we kocha u timamu kweli?