Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Dakika tisa zimesalia kumaliza game,tuwe na imani game ya kwetu ..onyango anawachukua maboya wake kama hataki vile
Mi naamini game imeisha hiyo tayari..... Mwarabu alikuja kutafuta sare au kufungwa goli chache na limeshatokea hilo so fungua soda/bia yako uinjoi maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…