Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Leo tutashuhudia total war inavyogeuzwa kuwa total failure, mbinu za kupulizia dawa chumba cha kuvalia jamaa wameingia na gas detector inanusa hali ya hewa, wamepulizia madawa chumba kizima kwa dk 15 ndipo wachezaji wameingia, ubalozi wa Misri umeweka ulinzi wa hatari. Sasa ngoja goma lipigwe.
 
Leo mikia ndio watajua kuwa hawajui, yule punguwani wao huwa anawajaza ujinga wasafi fm.
 
152136784_5394097000602155_4972626819383389711_n.jpg
watafeli alafu wapo kwao
 
Vuta subira,uwenda kuna kitu mwalimu kakiona kwake kwenye hii mechi mkuu.
Dilunga ana kasi na huwa ni mpambanaji uwanjani, tatizo lake akikaribia tu lango la mpinzani huwa anafanya maamuzi mabovu sana. Unakuta anataka kufunga wakati mchezaji mwingine yuko kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga au anapoteza mipira kijinga na kusababisha mashambulizi kuelekea upande wetu
 
Napitia nyuzi sioni mahali palipoandikwa mechi inachezwa SAA ngapi, sijui tunakwama wapi waandishi
 
Back
Top Bottom